Lwandamila Must Be Axed

Lwandamila Must Be Axed

Haya maneno yameelekezwa kwa lwandamina ambaye ni Mzambia, haelewei kwa ufasaha kiswahili zaidi ya kiingereza, hivyo mleta mada ana nia ya kumfikishia ujumbe Lwandamina bila kutafsiriwa na mtu, hata kama si member wa jamiiforum, ana jamaa zake wa Karibu ni members humu hivyo ujumbe utafika tu, sasa nyinyi Wabongo wazee wakukurupuka bila kutumia hata akili zenu ndogo walau kidogo, mmekazana kukosoa Ooh lugha ya malkia, Ooh unatafuta Kiki, stupid kabisa
Basi alitakiwa ampigie simu Lwandamina personally ili ujumbe umfikie mubashara.

Naamini hata angekuwa ameandika kilatini ujumbe ungemfikia tu sababu waka wakalimani wamejaa hivyo, hoja yako kuhusu lugha ni dhaifu sana.

Mfano mimi saivi sijui kichina ila ukinitukana kwa kichina nitatafuta mkalimani na nitaelewa.
 
Tofauti na mechi za Lipuli na Njombe, jana walikosa magoli mangapi ya wazi?
Jamani mpira ni pesa. Wanajitahidi katika mazingira magumu. Bila mshahara mchezaji anaishi vipi? Wewe binafsi unaweza bila mshahara miezi miwili? Aliyejitolea pesa zake kaliona hilo. Sisi zetu kelele tu, hatuchangii chochote
Mkuu kati ya mambo yote tunayopigia kelele umeona moja tu ambalo nalo haujaweza kushawishi hoja yako lakini pia sijui wewe ni shabiki, mwanachama ama kiongozi Yanga. Make inavyoonekana ni kana kwamba sisi hapa tunaongea umbeya hivi na wewe unajitaidi kutusilence. Haina ubaya lakini
 
Basi alitakiwa ampigie simu Lwandamina personally ili ujumbe umfikie mubashara.

Naamini hata angekuwa ameandika kilatini ujumbe ungemfikia tu sababu waka wakalimani wamejaa hivyo, hoja yako kuhusu lugha ni dhaifu sana.

Mfano mimi saivi sijui kichina ila ukinitukana kwa kichina nitatafuta mkalimani na nitaelewa.
Elewa na ujitaidi kuwa positive. Hapa isigeuzwe ishu kuwa "lugha" iliyotumika. Maana kubwa ya kuandika hivi ndo jambo muhimu na kwa njia gani ujumbe unafika isifanywe hoja kwani mwisho wa siku ipo siku mlengwa atajisomea mwenyewe ama kuoneshwa. Ataelewa na hataitaji tafsiri ya mtu awaye. Kwanini ujumbe utafsiriwe na wakati msomaji ana lugha yake ambayo tunaweza kuongea naye mubashara? Whether verbal/Non ili siyo tatizo katu

So far tunajua kuwa mpo kwenye masrahi zaidi ya yale ya kwetu sie mashabiki na ndo hicho kinawapa ukakasi na kudistort kila kitu kutoka kwetu ila kama kweli mnatuitaji mashabiki uwanjani na popote pale kwa ajiri ya mafanikio ya Yanga basi tuna imani kubwa kuwa ipo siku mtatuelewa tu.
 
Elewa na ujitaidi kuwa positive. Hapa isigeuzwe ishu kuwa "lugha" iliyotumika. Maana kubwa ya kuandika hivi ndo jambo muhimu na kwa njia gani ujumbe unafika isifanywe hoja kwani mwisho wa siku ipo siku mlengwa atajisomea mwenyewe ama kuoneshwa. Ataelewa na hataitaji tafsiri ya mtu awaye. Kwanini ujumbe utafsiriwe na wakati msomaji ana lugha yakeambayo tunaweza kuongea naye mubashara? Whether verbal/Non ili siyo tatizo katu
Sawa mkuu ngoja niwe positive na nisubiri Lwandamina atajibu nini!!
 
Mkuu Rweye ulichoongea ni ukweli mtupu wanaopinga waache,siku si nyingi watakuwa pamoja na wewe.Na nina uhakika kuanzia mechi ni Mtibwa jumamosi
 
Mkuu kati ya mambo yote tunayopigia kelele umeona moja tu ambalo nalo haujaweza kushawishi hoja yako lakini pia sijui wewe ni shabiki, mwanachama ama kiongozi Yanga. Make inavyoonekana ni kana kwamba sisi hapa tunaongea umbeya hivi na wewe unajitaidi kutusilence. Haina ubaya lakini
Mimi ni member na mshabiki tu. Natoa tu maoni yangu. Kuwa huru kutoa maoni yako Mkuu. Lazima tuyaheshimu.
 
Ntakuwa wa mwisho kumlaumu coach LWANDAMINA,

Kwanza nawashukuru viongozi,wachezaji ,wanachama na mashabiki wa Yanga popote pale walipo.

Mwisho timu yetu INA hali ngumu tuisaidie popote tulipo timu imetoa utaratibu wa kuchangia tutii kabla ya kudai matokeo bora.

Naambiwa kocha Lwandamina ni mvumilivu mwenyekujua shida na raha.
 
Ooops before anything.. you must know that... Football is the game.. having three equal chances unlikely probability thats having two chances... WIN, LOSE and DRAW.. thats the key chances... After that our club won VPL in 3 conservative seasons... more over Our players played so many games FA, Champions league, and VPL.. so players must turn into tired as games continue.. So far try to think about our economic status by this time.. no bonus, no salary or delaying in paying it.. Lwandamina for my side is the many who will move our club into another stage... what we want is just finding other sources of fund, as fans we must support them likely having good time and more cups...
You tried very well writing in English. Keep it up, you will improve with time!!
 
Haya maneno yameelekezwa kwa lwandamina ambaye ni Mzambia, haelewei kwa ufasaha kiswahili zaidi ya kiingereza, hivyo mleta mada ana nia ya kumfikishia ujumbe Lwandamina bila kutafsiriwa na mtu, hata kama si member wa jamiiforum, ana jamaa zake wa Karibu ni members humu hivyo ujumbe utafika tu, sasa nyinyi Wabongo wazee wakukurupuka bila kutumia hata akili zenu ndogo walau kidogo, mmekazana kukosoa Ooh lugha ya malkia, Ooh unatafuta Kiki, stupid kabisa
Hakuna kocha wa kujiuzuru hapo,Nijiuzuru ili nikose PESA ya bure ya mkataba kuvunjwa???

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Basi alitakiwa ampigie simu Lwandamina personally ili ujumbe umfikie mubashara.

Naamini hata angekuwa ameandika kilatini ujumbe ungemfikia tu sababu waka wakalimani wamejaa hivyo, hoja yako kuhusu lugha ni dhaifu sana.

Mfano mimi saivi sijui kichina ila ukinitukana kwa kichina nitatafuta mkalimani na nitaelewa.
Mgumu sana kuelewa, sijui hata kama shule ulipata marks zinazoridhisha. Hapo juu nimekueleza hakutaka mtu atafsiri ila bado tu umenipa'any'ana mara apige simu, mara hoja dhaifu, kazi ipo!!

Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
 
Kweli Mkuu, nia yangu iko kuongea na kocha moja kwa moja walau kwa namna itakavyokuwa rahisi kwake kuelewa. Unajua wengi wetu hatujui tufznyeje ili kocha apate kile tunachokipata kwa timu yetu ndo maana tunaona hapa Jf walau pataweza kutusaidia. Kiukweli ni maumivu tuliyonayo ndo yanatuleta sie huku. Naamini ipo siku ataupata ujumbe huu na atauelewa na ataelewa hisia zetu sie wanayanga
Ataelewa hisia za nani? Wewe kama Nani, so far una Mchango gani kwa klabu mpaka uwe Na influence yoyote kwa klabu. Hivi mashabiki wa kijima km wewe mtaisha lini tz. Basi timu upewewe wewe ufundishe
 
Tatizo pesa tu hapo yanga! Huwezi kujitoa kwa ajili ya timu kisha ukasubiri pesa 3months. Kama mnawaza ubingwa ni wa lazima kwa timu hizo za siasa. Tukutane mechi na mtibwa.
 
I totally agree with you Rweye
Nimeiangalia game ya jn mpk nikasikitika,team inacheza vibaya cjapata ona,wachezaji karibu wote wameshuka viwango na kuna dalili wakaendelea kushuka viwango kila cku
 
Tatizo letu watanzania tunajua sana kuliko hata wataalam wenyewe,hebu jiulize ni makocha wangapi wa kiwango cha juu walipita Yanga wakashindwa kuyaishi maisha ya soka letu lakini leo hii wana mafanikio huko waliko???Uvumilivu ni sifa nzuri ya mwanamichezo,Leo GL hafai lakini ni juzi tu alikuwepo babu Pluijm tulimchukia tu baada ya simba kuwa wanasawazisha magoli tunayowafunga jioni,tukamlaumu kuwa timu haina pumzi wachezaji wamemzoea.Tumwache GL afanye kazi tumhukumu mwisho wa msimu

Just one word. Lwandamila hear me, you can not manage Yanga nor lead it to anywhere. We, fans are keeping away from you and from attending the matches anywhere you have a match. Your work rate is far from any one could have imagined.

You might not find the right person to tell you the truth but this is it. Our team is currently as useless as never. Despite even losing to other side in the past Yanga could still display a very impressive game unlike today. The display is unconvincing and dead.

Dear Lwandamila you must realize that, it is us, the fans who are appealing for your departure just for the good sake of our team. We love Yanga just like nothing else.
 
Mgumu sana kuelewa, sijui hata kama shule ulipata marks zinazoridhisha. Hapo juu nimekueleza hakutaka mtu atafsiri ila bado tu umenipa'any'ana mara apige simu, mara hoja dhaifu, kazi ipo!!

Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
Majibu ya kukurupuka na ubishi wa kishamba kabisa
 
Ataelewa hisia za nani? Wewe kama Nani, so far una Mchango gani kwa klabu mpaka uwe Na influence yoyote kwa klabu. Hivi mashabiki wa kijima km wewe mtaisha lini tz. Basi timu upewewe wewe ufundishe
Umeruka kimo cha maafa
 
Lwandamina is not agood coach.The team under him is not playing the normal yanga football.Even when the team lost yanga used to outperform their oppponents.That was before this zambian was given the team.

He has failed to organise the team remaining depending just on individual skills of players.No creativity.Cant do the needy substitutions.No motivation to the players.He is just a looser.

Even when yanga win a match the team is just playing shit football.What Lwandamina is better at, than Mecky or Katwila is just coaching in English.But technically many local Tanzanian coaches are far better than him.When people urge that foreign player must have the x-factor that our players lack the same must be applied for the so called foreign coaches like this man Lwandamina.He is one of the reason the club is now facing economic problems.He is paid highly for the useless job.He must be sacked
 
Back
Top Bottom