Lwandamila Must Be Axed

Lwandamila is Simply useless.Yanga is too big for him to handle.
 
We've 8 points in 4 matches as SIMBA SC have.. the difference btn is just goal difference.. Yanga played two games away while Simba played only one game away... We've a good coach, management as well as players.. As we enjoy the yield together we must come together to this hardship time... Our club need more support this time than ever.. Lwandamina is the one of the best coach in Africa having a record to reach semi final in AFRICAN CHAMPION LEAGUE.. Not all the time you will be the best......
 
Yanga imekuwa kwenye peak kwa miaka 3 mfululizo so automatically lazima ianze kushuka ndio kinachotokea hata kocha angekuwa nani na majority ya wachezaji ni walewale wamechoka na morali imepungua na kibaya zaidi ndani ya miaka 7 Yanga haijawahi kuwa kwenye ukata wa fedha kama sasa. Kama Manji angekuwepo Msuva na Haruna mpaka leo wangekuwa wanacheza Yanga, Msuva ameuzwa lakini hakuna aliyenunuliwa kuziba pengo na kwa sasa tatizo kubwa la Yanga ni kutokuwa na mawinga mazuri
 
I just don see yanga plays their usual football since this your best coach came.Am not at all after the final results.Am greatly concerned on what goes on on pitch.Not the simba results nor yours which my argument base to.The display is very poor and its the one which drives me.
 
Kwamba mkiwa kwenye peak kwa miaka mitatu mfululizo automatically lazima mshuke ni sheria gani na ya mwaka gani!

Kanuni gani inasema ukiwa na wachezaji walewale lazima wachoke?

Morali kupungua nakubaliana na wewe na ndicho hata mtoa mada amegusia.Kocha wa timu isiyo na morali kwa nini asilaumiwe.Ni moja ya majukumu yake kuhakikisha timu ina morali au ni kaxi ya nani?Ameshindwa kazi.

Kwamba ameuzwa msuva hajanunuliwa mchezaki mwingine...so what?Ni kazi ya kocha hiyo kujua anataka kuchezaje na aina ya wachezaji anaowataka.Kwa hiyo huo ni udhaifu wake mwingine

Raphael Daud,Tshishimbi,Hajibu na Gadiel ni pure talents yanga imesajili.Lakini huyu kocha ameshindwa kuexploit the most kitoka kwenye hivi vipaji vipya.Timu inapoteana hata ilipocheza na njombe mji timu dhaifu kabisa ligi kuu
Haya bhana but hili tatizo yanga wenyewe watakiwa wameamua kulifuga
 
To see if the team played well or not.. you just find match analysis at every half of the time and full time.. As we know that the new formation is just using mildfielders in assisting more goals and not using wings...
 
Unaonekana ni mshabiki maandazi hata vitu vidogo unashindwa kujenga hoja

1. Wachezaji wote waliosajiliwa wanacheza vizuri (Gadiel, Tshishimbi, Ajibu) ndio wanaiokoa timu kama umeangalia mechi za Yanga, yupi unayesema kocha kashindwa ku-explot kipaji chake

2.Yanga imeondokewa na 2 creative players (Msuva, Haruna) hawa ndio walikuwa wanatengeneza zaidi ya 70% ya magoli ya Yanga na walikuwa kikosi cha kwanza zaidi ya miaka 5 na hakuna replacement yao imefanyika.Tatizo la Yanga sio mabeki au strikers ni viungo wanashindwa kutengeneza nafasi za magoli tangu ametua Yanga Kamusoko amekuwa akicheza DM siku hizi anachezeshwa attaking midfielder sio mzuri kama Haruna kwenye ushambuliaji.Kuhusu Msuva miaka yote mpira wa Yanga inategemea mawinga kuanzia Lunyamila, SMG, Ngasa, Msuva

3.Hujazungumzia kabisa issue ya Ukata wachezaji kutolipwa mishahara karibia miezi 3 na fedha za usajili, Yanga haijawahi kuwa na ukata huu ndani ya miaka 7 iliyopita again kama Manji angekuwepo Msuva na Niyonzima mpaka leo wangekuwa wanachezea Yanga
 
I am afraid you confuse between romantic and functional football. The former is full of entertaining stunts and mesmerizing moves, regardless of goals scored. In some few cases like Barca’s tiki-taka days, this type produces both goals and pleasure. But in most, it is more about possession than goals. Functional (or technical) football is the one where you see goals coming - whether many or few - without much ball possession or thrilling style of play. It could be based more on counter-attack, or physical prowess or effective utilisation of individual talents....
Moreover, every coach has their own philosophy, game plan and preferred formation. Any coach succeeding a successful one will not quickly impose those, but will gradually fade them out in favour of his. This is what Lwandamina did. Much credit on the current championship should go to his successor, but to him also for maintaining the inherited standard. Now it is his turn to impose his own. What we see is the start. As a rule, such start does not work full throttle immediately for any new team or players. Keep your eyes open and you will notice the same happening to Pluijm, Omog, Mourinho (with Man U), Chirwa, Mavugo, Pogba and others.
I don’t say Lwandamina is definitely a good coach, but rather that any coach in his situation would find himself in the same situation.
 
Nimeishia kusoma sentensi yako ya kwanza nikajikuta nakupuuza
 
Nimeishia kusoma sentensi yako ya kwanza nikajikuta nakupuuza
Nilijitahidi sana kukuelezea post ya kwanza lakini majibu yako yalistahili kabisa hilo jina,una personal problem na kocha but huna hoja ya msingi
 

May be you are right.Lets let time be the factor.By the way am grateful to see there are still some people we can exchange ideas wisely without insults or some other bad words.
 
May be you are right.Lets let time be the factor.By the way am grateful to see there are still some people we can exchange ideas wisely without insults or some other bad words.
Thank you. Anyway, some corrections to my earlier comment: credit should go to Lwandamina’s predecessor, not successor as I erroneously wrote. Apologies to all. That is the price we sometimes have to pay for using borrowed language where our own would suffice!
 
....kumbe vyura wengi lugha gongana ha ha ha
Regradless, it is all crap. Whoever who wrote this piece of crap doesn't belong to the football world.
Forget those years Mainzi used to bribe officials and give you free ride in terms of points.. this year most if not all teams have invested a lot, using young players who are determined to display their talents without being bribed.

I love Mtibwa, local kids no those aged foreigners with fake IDs and passports....play good futbol and will always challenge the old guards-simba and Yanga...!!!

 

As today I am still asking myself why Babu Plujim was fired.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…