Lwandamila ni mchawi ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nimepokea kwa hofu kubwa sana taarifa za timu ya Gor Mahia kumhitaji kocha mbovu wa Yanga George Lwandamila.

Huyu kocha ndio alisababisha kuporomoka kwa kiwango cha kimataifa cha Yanga kilichotengenezwa na Mzungu Pluijm , na kama si mbereko ya TFF , Mnyama alikuwa abebe ile ndoo.

Sasa cha kushangaza ni kwamba kocha mbovu kama huyu ni wa kutakiwa na timu nyingine kweli ! Kama siyo hirizi ni nini basi jamani ?
 
Mkuu jina lake la pili ni Lwandamina sio Lwandamila.
Gor mahia wakimchukua watakuwa wameisaidia sana Yanga maana nina hakika washaona hawezi ila hawawezi kuvunja mkataba maana yanga haina hela ya kumlipa
 
Na wewe acha kuchekesha jukwaa Yanga ina kiwango gani cha kimataifa? Wazee wa 4G
 
Mh hata kama Naichukia Yanga si kiivi... Lakini kuna mtu kweli hapa wa kuthibitisha haya maandiko yako...

Ngoja nivute subra
Hata mimi nasubiri majibi kutoka Dsm na Lusaka .
 
Yanga iliporomoka sababu wachezaji walikuwa hawana motisha.

Wachezaji wanadai mishahara ya miezi 3 tuliona namna Bossou. Ngoma walivyokuwa wanagomea mechi.

Licha ya misukosuko mingi msimu uliopita lakini waliendelea kubeba kombe.

Japo sifurahishwi na tabia yake ya kuwachezesha viungo wakabaji 2
 
Duuuh hatari sasa sijui itakuwaje akiondoka, kocha yupi ataifaa yanga
 
Unaweza ukawa umepost kitu afu wewe mwenyewe unajishangaa umepost nini siyo kwa ujinga huo,,,
 
Kwa nini usishangae uchawi wa okwi kusajiliwa mtu ambaye anakuja kuchukua pensheni yake tu na viongozi wa simba wanamtumia kama ndo brand ya timu kwa lengo la kuwasahaulisha rufaa ya FIFA mambumbumbu
 
Mdada kumbe upo fit hata kwenye maswala ya soka.
 
hirizi haishonwi kwa cherehani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…