Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimepokea kwa hofu kubwa sana taarifa za timu ya Gor Mahia kumhitaji kocha mbovu wa Yanga George Lwandamila.
Huyu kocha ndio alisababisha kuporomoka kwa kiwango cha kimataifa cha Yanga kilichotengenezwa na Mzungu Pluijm , na kama si mbereko ya TFF , Mnyama alikuwa abebe ile ndoo.
Sasa cha kushangaza ni kwamba kocha mbovu kama huyu ni wa kutakiwa na timu nyingine kweli ! Kama siyo hirizi ni nini basi jamani ?