Lwandamila ni mchawi ?

Lwandamina bonge la kocha, timu anaitransform. Natumaini msimu huu Yanga wanaweza kuwa wakali kuliko.
Sisi simba tunasajili hovyo hovyo tu bila mipango ya Kocha. Mchezaji anasajiliwa ndio kocha anataarifiwa. Hii kitu ndio imekuwa ikituathiri sana.
Kwi! Kwi! Kwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…