GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Fit wapi? Timu ilikuwa nyuma kwa Pointi nane mpaka inachukua ubingwa... weeee acha kabisa.Mdada kumbe upo fit hata kwenye maswala ya soka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fit wapi? Timu ilikuwa nyuma kwa Pointi nane mpaka inachukua ubingwa... weeee acha kabisa.Mdada kumbe upo fit hata kwenye maswala ya soka.
Kwi! Kwi! Kwi!Lwandamina bonge la kocha, timu anaitransform. Natumaini msimu huu Yanga wanaweza kuwa wakali kuliko.
Sisi simba tunasajili hovyo hovyo tu bila mipango ya Kocha. Mchezaji anasajiliwa ndio kocha anataarifiwa. Hii kitu ndio imekuwa ikituathiri sana.
Kweli mkuu .Fit wapi? Timu ilikuwa nyuma kwa Pointi nane mpaka inachukua ubingwa... weeee acha kabisa.
NsajigwaDuuuh hatari sasa sijui itakuwaje akiondoka, kocha yupi ataifaa yanga
kumbeNsajigwa