Lwandimina hafai wana Yanga wenzangu

Lwandimina hafai wana Yanga wenzangu

Enzymes

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
4,332
Reaction score
3,013
Jameni wapenzi wa Sports hasa wana Yanga wenzangu., Habari.

Yanga Oyeeee!!

Daima mbele - Nyuma mwiko.

Ni kweli mechi yetu dhidi ya Singida United tumeshinda 3 kwa 2...ila ukweli unabaki pale pale timu yetu haiko Organised kama Bingwa mtetezi. Pia haifanani kama ni timu ya mwaka 1935.. Ball possession hakuna. Strategic passes hakuna!! Japo hii timu ya Mwigulu Nchemba pia ilitukamia leo. Yaani wao substitution 1 tu!! Yanga karibu 8 kozi ni friendly match, kutest vikosi!!

Kweli tulikosea kumfukuza Pluljin (huyu kocha wa sasa wa Singida Utd). Huyu Lwandimina sijui anafundisha nn jameni? Binafsi simuelewi. Timu siyo creative!! Pasi sizioni za Draft!! Wala Value Added ya Lwandimina si ioni tangia awe kocha wa Yanga!!

Afu ana niudhi hii tabia ya yy kuwa amekaa tu timu imelemewa!! Yy siku yake ya kazi haswaa ni siku Yanga ikiwa na mechi. Yani ananiweka roho juu juu nikiwa uwanjani balaaa. Bora tumeshinda!! Mishabiki ya Simba ilikuwa ina ningojea inizomeee!! (Wazee wa 7).

Kwa kuwa mkataba wake umeisha. Ni muda muafaka wa kumtupia virago vyake akafundishe mpira mbovu huo huko kwao Zambia.

Viongizi wa Yanga, msituangushe!! Najua mkataba wake ulikuwa wa mbwembwe na kwa umbumbu wenu alijikweza eti mtaalam na kumsainisha mkataba mkubwa kuliko Puljin!!

Jameni mtupieni virago aondoke.

Kwa mpira huu si Simba watalipiza 7 zao kwetu, NGAO YA JAMII?

MKWASA nakuamini hutatuangusha wana Yanga.

JPM KAMATA WEZI
 
fitina hizi huna lolote kama huijui formula ya Yanga miaka yote kaa tulia,alafu hivi sisi tuna timu nzuri ya vijana walio lelewa kimpira kuisaidia timu au bado miaka nenda rudi tunasajili kwa kuokoteza wachezaji sasa unategemea kocha aje afanye maajabu gani sasa kwani mpira wa plujim ulitufikisha wapi??bora ungekuja na action plan kuliko tabia zenu hizi za kutaka kila siku tubadili makocha kwanza hujui maana ya friend match
 
Leo unabeza mafanikio ya Puljin? Hayo Mashindano ya kimataifa kila mwaka ni juhudi za nani?

Hakuna cha mpira wa Yanga wala nn!! Jamaa hajui chochote ktk mpira!! Hata mwaka jana hakuingia ktk top best coaches.

itafute cv ya Lwandamina na Puljim tangia wote waanze kufundisha soccer hapa africa ndo tuzungumze mara ya mwisho timu aliyo toka aliifikisha wapi?sikatai kuwa puljim kuwa hajatuletea mafanikio kafanya makubwa tu lakini je mpaka lini tutaendelea kubadili makocha hebu jiulize arsenal na man untd maocha wao tangu wamekaa pale yanga tulisha badili makocha mara ngapi mpaka sasa?issue kubwa sio makoch sometimes tunakuja kuwaharibia cv yao sababu bado hatuna timu competent ikija michuano ya kimataifa issue kubwa hapa ni kushnikiza tuape timu za vijana ndio msingi wa timu competent ya wakubwa leo tujiulize tumeuza wachezaji wangapi na wameipa club faida,je mfumo wa uendeshaji wa club ukoje una manufaa hata kwasisi mashabiki
 
Wabunge wangapi wa CCM wana PhD lakini ku deliver ni zero?

Soka siyo kukariri. Liverpool wako wapi leo licha ya Historia kibao? Kuna vilabu vilawahi kuwa bingwa na badae kushuka daraja...

Kwahiyo historia ktk soka hakuna hapa Duniani!!

Sisi tuna mpima uwezo wake kwa wakati huu....hayo ya Wahenga apelekee Babu zake huko.

naona umejichanganya wewe umezungumzia kazi ya puljim sasa hivi unakataa historia alafu kingine acha kuwaza kiccm waza in future progress
 
Puljin ni recent...hata leo nimeona uwezo wake..as Compared to Lwandamina.

JPM KAMATA WEZI
 
Watanzania lugha ndogo na physique ndogo kila kocha wa klabu zetu atakumbana na changamoto hizo mbili kama so mojawapo.Kwa hiyo tusahau kabisa kupata timu ya ushindi kwa hali hii.Tuweke lengo LA miaka 20 kujenga timu bora za klabu na taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubali kabisa toka lwandamina amekuja mpira wetu yanga umekuwa WA mazabe mazabe tu,kampa kampa Tena imepotea tunacheza tu kwa kutegemea vipaji binafsi,kinachoniudh zaidi Hana plan b,timu ikikwama ndio imekwama mwanzo mwisho,pia ni mzito wa maamuz unaweza kuona kabisa mchezaji flan Hana anachokifanya lakin akamfanyia mabadiriko Muda ukiwa umeenda sana kiasi kwamba anayeingia anakosa Muda WA kutosha kubadiri matokeo
 
Uko kama mm mkuu.
Imebakia tu uwezo binafsi wa wachezaji wenyewe.

JPM KAMATA WEZI
 
fitina hizi huna lolote kama huijui formula ya Yanga miaka yote kaa tulia,alafu hivi sisi tuna timu nzuri ya vijana walio lelewa kimpira kuisaidia timu au bado miaka nenda rudi tunasajili kwa kuokoteza wachezaji sasa unategemea kocha aje afanye maajabu gani sasa kwani mpira wa plujim ulitufikisha wapi??bora ungekuja na action plan kuliko tabia zenu hizi za kutaka kila siku tubadili makocha kwanza hujui maana ya friend match
Hujui mpira wewe, yangu nw hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni wapenzi wa Sports hasa wana Yanga wenzangu., Habari.

Yanga Oyeeee!!

Daima mbele - Nyuma mwiko.

Ni kweli mechi yetu dhidi ya Singida United tumeshinda 3 kwa 2...ila ukweli unabaki pale pale timu yetu haiko Organised kama Bingwa mtetezi. Pia haifanani kama ni timu ya mwaka 1935.. Ball possession hakuna. Strategic passes hakuna!! Japo hii timu ya Mwigulu Nchemba pia ilitukamia leo. Yaani wao substitution 1 tu!! Yanga karibu 8 kozi ni friendly match, kutest vikosi!!

Kweli tulikosea kumfukuza Pluljin (huyu kocha wa sasa wa Singida Utd). Huyu Lwandimina sijui anafundisha nn jameni? Binafsi simuelewi. Timu siyo creative!! Pasi sizioni za Draft!! Wala Value Added ya Lwandimina si ioni tangia awe kocha wa Yanga!!

Afu ana niudhi hii tabia ya yy kuwa amekaa tu timu imelemewa!! Yy siku yake ya kazi haswaa ni siku Yanga ikiwa na mechi. Yani ananiweka roho juu juu nikiwa uwanjani balaaa. Bora tumeshinda!! Mishabiki ya Simba ilikuwa ina ningojea inizomeee!! (Wazee wa 7).

Kwa kuwa mkataba wake umeisha. Ni muda muafaka wa kumtupia virago vyake akafundishe mpira mbovu huo huko kwao Zambia.

Viongizi wa Yanga, msituangushe!! Najua mkataba wake ulikuwa wa mbwembwe na kwa umbumbu wenu alijikweza eti mtaalam na kumsainisha mkataba mkubwa kuliko Puljin!!

Jameni mtupieni virago aondoke.

Kwa mpira huu si Simba watalipiza 7 zao kwetu, NGAO YA JAMII?

MKWASA nakuamini hutatuangusha wana Yanga.

JPM KAMATA WEZI
Wewe sio shabiki wa yanga na pia am so sure hujui mpira so kaa utulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhauri wangu kwenu: Najinukuu .. "Mfukuzeni haraka sana huyu jamaa, ili kupunguza ghalika zito tunaloenda kuwashushia tarehe 23/08/2017".. Mwisho wa kujinukuu.
 
Back
Top Bottom