Lwandimina hafai wana Yanga wenzangu

Lwandimina hafai wana Yanga wenzangu

Uhauri wangu kwenu: Najinukuu .. "Mfukuzeni haraka sana huyu jamaa, ili kupunguza ghalika zito tunaloenda kuwashushia tarehe 23/08/2017".. Mwisho wa kujinukuu.
Mmeshatambua ubingwa wa Yanga? Mwisho wa msimu uliopita mligomea mpaka zawadi ya mshindi wa 2! Mashabiki wa simba huwa hamjielewi! Ile ilikuwa mechi ya kirafiki tu ili Mwl aone mapungufu ya timu yake! Kwani simba ina wachezaji gani wa maana zaidi ya hao wa kila siku? Kina Niyo na Okwi! Kama hujui viwango vya wachezaji ktk ligi yetu vinalingana sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fitina hizi huna lolote kama huijui formula ya Yanga miaka yote kaa tulia,alafu hivi sisi tuna timu nzuri ya vijana walio lelewa kimpira kuisaidia timu au bado miaka nenda rudi tunasajili kwa kuokoteza wachezaji sasa unategemea kocha aje afanye maajabu gani sasa kwani mpira wa plujim ulitufikisha wapi??bora ungekuja na action plan kuliko tabia zenu hizi za kutaka kila siku tubadili makocha kwanza hujui maana ya friend match
Mkuu leo tumetoka sare ya 1vs 1 na Lipuli FC timu iliyopanda daraja msimu huu.

Vp kuna mpira wowote umeona timu ya Yanga umeuonesha?

Au bado una imani na Lwandamina?

JPM KAMATA WEZI
 
Back
Top Bottom