Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,013
Jameni wapenzi wa Sports hasa wana Yanga wenzangu., Habari.
Yanga Oyeeee!!
Daima mbele - Nyuma mwiko.
Ni kweli mechi yetu dhidi ya Singida United tumeshinda 3 kwa 2...ila ukweli unabaki pale pale timu yetu haiko Organised kama Bingwa mtetezi. Pia haifanani kama ni timu ya mwaka 1935.. Ball possession hakuna. Strategic passes hakuna!! Japo hii timu ya Mwigulu Nchemba pia ilitukamia leo. Yaani wao substitution 1 tu!! Yanga karibu 8 kozi ni friendly match, kutest vikosi!!
Kweli tulikosea kumfukuza Pluljin (huyu kocha wa sasa wa Singida Utd). Huyu Lwandimina sijui anafundisha nn jameni? Binafsi simuelewi. Timu siyo creative!! Pasi sizioni za Draft!! Wala Value Added ya Lwandimina si ioni tangia awe kocha wa Yanga!!
Afu ana niudhi hii tabia ya yy kuwa amekaa tu timu imelemewa!! Yy siku yake ya kazi haswaa ni siku Yanga ikiwa na mechi. Yani ananiweka roho juu juu nikiwa uwanjani balaaa. Bora tumeshinda!! Mishabiki ya Simba ilikuwa ina ningojea inizomeee!! (Wazee wa 7).
Kwa kuwa mkataba wake umeisha. Ni muda muafaka wa kumtupia virago vyake akafundishe mpira mbovu huo huko kwao Zambia.
Viongizi wa Yanga, msituangushe!! Najua mkataba wake ulikuwa wa mbwembwe na kwa umbumbu wenu alijikweza eti mtaalam na kumsainisha mkataba mkubwa kuliko Puljin!!
Jameni mtupieni virago aondoke.
Kwa mpira huu si Simba watalipiza 7 zao kwetu, NGAO YA JAMII?
MKWASA nakuamini hutatuangusha wana Yanga.
JPM KAMATA WEZI