Lwandimina hafai wana Yanga wenzangu

Uhauri wangu kwenu: Najinukuu .. "Mfukuzeni haraka sana huyu jamaa, ili kupunguza ghalika zito tunaloenda kuwashushia tarehe 23/08/2017".. Mwisho wa kujinukuu.
Mmeshatambua ubingwa wa Yanga? Mwisho wa msimu uliopita mligomea mpaka zawadi ya mshindi wa 2! Mashabiki wa simba huwa hamjielewi! Ile ilikuwa mechi ya kirafiki tu ili Mwl aone mapungufu ya timu yake! Kwani simba ina wachezaji gani wa maana zaidi ya hao wa kila siku? Kina Niyo na Okwi! Kama hujui viwango vya wachezaji ktk ligi yetu vinalingana sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu leo tumetoka sare ya 1vs 1 na Lipuli FC timu iliyopanda daraja msimu huu.

Vp kuna mpira wowote umeona timu ya Yanga umeuonesha?

Au bado una imani na Lwandamina?

JPM KAMATA WEZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…