Lwanini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa?

Lwanini watu wenye kipato cha mawazo/duni/masikini ndiyo wanaongoza kwa matumizi mabaya ya pesa?

Kila mtu ana haki ya kuishi apendavyo usipende kufuatilia maisha ya wengine we pambana na hali yako.
 
Kuna Kaka yangu kamaliza 250,000,000 ndani YA miezi 14....hapa Kanitumia SMS nimsaidie elfu tano nimemblacklist Pumbafuuuuuuu zake
14*30=420
250,000,000/420=595,000+
Ametumia karibu 600,000 kwa siku.
 
Losers quit when they're tired. Winners quit when they've won.

You are strong than what you think...
 
"Watu wengi wanatumia pesa ambazo hawakupata, wananunua vitu visivyo hitajika ili tu wawavutie watu wasiopenda vitu hivyo" Will Smith
 
Back
Top Bottom