Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 26, 2012 #1 I real miss the goodtime we have pamoja kipindi kile... Mwl.Nyota, Nyudura, Suti, Msavaga, Mlowok, Ngenzi... daaah what a wandaful time jamani. Ila mpo kweli? Mwaka gani ulikuwepo pale?
I real miss the goodtime we have pamoja kipindi kile... Mwl.Nyota, Nyudura, Suti, Msavaga, Mlowok, Ngenzi... daaah what a wandaful time jamani. Ila mpo kweli? Mwaka gani ulikuwepo pale?
Munru JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 1,340 Reaction score 666 May 26, 2012 #2 dah umenikumbusha kipindi nipo tosamaganga, kwenda kuwachungulia watoto na akina dada wa ufundi, hu hu hu hu hu enzi zetu duuuuuuh , yaani inaweza kupita wiki hujamuona mwanamke , :happy:
dah umenikumbusha kipindi nipo tosamaganga, kwenda kuwachungulia watoto na akina dada wa ufundi, hu hu hu hu hu enzi zetu duuuuuuh , yaani inaweza kupita wiki hujamuona mwanamke , :happy:
B BHISO New Member Joined Mar 7, 2012 Posts 2 Reaction score 1 May 26, 2012 #3 Daah ni mdaa tangu kipindi kile nikiwa Tosa nilikuwa nakwenda nakwenda kubdilisha menu kwa sister tosi 2009
Daah ni mdaa tangu kipindi kile nikiwa Tosa nilikuwa nakwenda nakwenda kubdilisha menu kwa sister tosi 2009
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 27, 2012 Thread starter #4 nyie watoto wa Tosa mnanikimbuka.. mtoto wa PostaMasta