LYALAMO Primary School IRINGA , Wapo Kweli?

LYALAMO Primary School IRINGA , Wapo Kweli?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
I real miss the goodtime we have pamoja kipindi kile... Mwl.Nyota, Nyudura, Suti, Msavaga, Mlowok, Ngenzi... daaah what a wandaful time jamani.
Ila mpo kweli? Mwaka gani ulikuwepo pale?
 
dah umenikumbusha kipindi nipo tosamaganga,

kwenda kuwachungulia watoto na akina dada wa ufundi, hu hu hu hu hu enzi zetu duuuuuuh ,

yaani inaweza kupita wiki hujamuona mwanamke , :happy:
 
Daah ni mdaa tangu kipindi kile nikiwa Tosa nilikuwa nakwenda nakwenda kubdilisha menu kwa sister tosi 2009
 
nyie watoto wa Tosa mnanikimbuka.. mtoto wa PostaMasta
 
Back
Top Bottom