Lyamungo sekondari

Lyamungo sekondari

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari za leo?

Nomba msaada wenu wa mawasiliano ya simu au email ya Mkuu wa shule ya Lyamungo Moshi.Pia naomba direction ya namna ya kufika shuleni hapo.

Nasubiria majibu yenu.

Asanteni sana..!!
 
LYAMUNGO HIGH SCHOOL S.L.P 3020 MOSHIHakikisha upo Moshi mjini. nenda stend kuu ya moshi ulizia magari yanayoenda Kibosho umbwe(narudia tena... Magari ya kibosho umbwe) panda magar hayo na ushukie mwisho kabisa wa magari hayo panaitwa kijiweni hapo hapo waulize njia ya kwenda lyamungo shuleni watakuonyesha geti lake
 
Asante sana ndugu,ningepata na namba ya simu ingekuwa vizuri zaidi kabla ya kwenda shuleni.

LYAMUNGO HIGH SCHOOL S.L.P 3020 MOSHIHakikisha upo Moshi mjini. nenda stend kuu ya moshi ulizia magari yanayoenda Kibosho umbwe(narudia tena... Magari ya kibosho umbwe) panda magar hayo na ushukie mwisho kabisa wa magari hayo panaitwa kijiweni hapo hapo waulize njia ya kwenda lyamungo shuleni watakuonyesha geti lake
 
LYAMUNGO HIGH SCHOOL S.L.P 3020 MOSHIHakikisha upo Moshi mjini. nenda stend kuu ya moshi ulizia magari yanayoenda Kibosho umbwe(narudia tena... Magari ya kibosho umbwe) panda magar hayo na ushukie mwisho kabisa wa magari hayo panaitwa kijiweni hapo hapo waulize njia ya kwenda lyamungo shuleni watakuonyesha geti lake

mkuu mwambie vizuri asije kushukia kwa rafaeli
 
we jasusi nini hatukupi namba za simu maelezo hapo juu yanajitosheleza
 
Usje ukajimix ukapanda gar za kibosho kirima...wengi wanakoseaga
 
Ungekuwa na uwezo wa kujua jasusi ngekulipa nauli kwenda Nigeria kuwatafuta Boko haram,mimi sio uwezo wa kujua Jasusi wala kuwa Jasusi ila ninataka namba ya simu ya Lyamungo sekondari kwa kuwa ninataka kuweka miadi na mwalimu mkuu ili niende nikaombe nafasi ya mdogo wangu kuhamia hapo kwa kidato cha SITA,Julai mwaka huu.!

we jasusi nini hatukupi namba za simu maelezo hapo juu yanajitosheleza
 
Sihitaji namba ya Mwalimu mkuu kwa ubaya,ila hata kama nikipata namba ya simu ya shule pia itanisaidia sana.Tuache mawazo mabaya hivi ingekuwa namba ya simu tu unaweza kumfanyia mtu ubaya,basi wewe chukua ya kwangu na ujaribu kunifanyia chochote upendacho. 0787140432.

Umeshapewa direction namba za mwalimu za nn unataka kumfanya nn ni ndugu yg lkn namba mhhh!!
 
Back
Top Bottom