Makota matupu hawa shwain.Lyanga na Manula si wachezaji wa kimataifa....warudishwe nyumbani tu
Mkuu umeongea kitu ambacho Mimi nilikiona , The entire timu ni kimeo , angalau kidogo kipa pamoja na midfielder flan hv sjui nan vile, mengine yote hamna kitu , mtu anatoa passi badala atanue unamuona anatembea Tu mpaka mwenye mpira anapoteza ..... Wachezaji wanabutua butua tuu, backpass za hovyo ,Jana tulikutana na vibonde wenzetu tuWatanzania kwa lawama hamjambo sasa si bora yule kuliko waliopo benchi, kwanza wachezaji wote tu wanaruka ruka wanapoteza mipira hawana umakini mwenzake akiwa na mpira badala ya kuomba nafasi yeye anaganda tu. Timu hii hata aje nani tutakuwa tunashinda kwa kudra za mwenyezi Mungu tu
Huyo Mgunda unamwamini mzee?Kosa kubwa la Lyanga na ambalo waalimu wake hawamrekebishi ni akipewa pasi focus yake inakuwa kwenye mpira tu na pale anapokuja kupata akili ya kuangalia nafasi inakuwa too late.
Mshambuliaji anapokea pasi anaanza kupiga chenga kabla ya kuangalia positions za wenzake ili chenga iwe ni mbadala wa kutoa nafasi zaidi kwake au wenzake.
Asiwe anakimbia huku anaangalia chini. Otherwise ni mchezaji mzuri sana, anahitaji Ushauri tu na nashangaa mtu kama Mgunda anashindwa vipi kubadili hilo.
Mkuu siku tukiacha siasa kwenye mpira ndio tutafika mbali lakini kama tutaendelea hivi basi tutakuwa tunalaumu laumu mara kocha, wachezaji.Mkuu umeongea kitu ambacho Mimi nilikiona , The entire timu ni kimeo , angalau kidogo kipa pamoja na midfielder flan hv sjui nan vile, mengine yote hamna kitu , mtu anatoa passi badala atanue unamuona anatembea Tu mpaka mwenye mpira anapoteza ..... Wachezaji wanabutua butua tuu, backpass za hovyo ,Jana tulikutana na vibonde wenzetu tu
Tanzania siasa ndio baba lao. Mkuu alishauri pawe na club ya taifa ili kupata wachezaji mbadala wa Simba and Yanga, waziri wa michezo sijasikia msomi yake. Hata kuelezea hali ya janga la corona, mganga mkuu wa serikali marufuku.Eti wachezaji wasitokane na Yanga na Simba!!! Ujuaji mwingine unaleta sana fedheha! Na haya ndiyo matokeo yake.
Sasa si ubadili mfumo kwanza kwa kupeleka vijana wengi wazawa kwenye Academy za Ulaya na pia kuziboresha timu za majeshi na pia zile za mamlaka ili hizo Simba na Yanga zikose nguvu ya kuwa na wachezaji wengi kwenye timu ya Taifa!
Hispania kwenyewe wachezaji wao wengi wa Timu ya Taifa wanatoka Barceloba, Real Madrid na Atletico Madrid! Iweje nongwa kwa Simba na Yanga kutoa wachezaji wengi iwapo wana sifa zinazo stahili?
Huwa nakerwa sana kuwa na kiongozi asiye na mipaka kwa wasaidizi wake. Yaani kila sehemu unaingilia na kuvuruga vuruga tu! Sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na wasaidizi au mgawanyo wamadaraka?
Kiongozi siku zote yuko sahihi, hata akikohoa na kukwambia, ' kwa nini nakuuliza hujibu? ' mwambie samahani, unalitafakari swali.Kuna wajinga walisapoti kauli ya huyo kiongozi tena kwa makofi mengi sana.
Huu ni ujinga tena mkomavu..Kiongozi siku zote yuko sahihi, hata akikohoa na kukwambia, ' kwa nini nakuuliza hujibu? ' mwambie samahani, unalitafakari swali.