The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na washindani wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua aliye bora zaidi.
"Siuoni uchaguzi kwa maana kwamba unapozungumzia ili tuweze kuita uchaguzi lazima kuwe na ushindani wa watu mbalimbali wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua kati ya wale wanaoshindana, Uchaguzi huu wa mwaka huu hauna ushindani wa aina yeyote, hauna washindani wa aina yeyote ambao wanaweza wakatushawishi sisi tukaanini kwamba kuna uchaguzi, Ukiniambia mimi naona nini mbele mimi naona giza kwa sababu naona uchaguzi wa chama kimoja"
Felix amefafanua chaguzi mbalimbali zilizopita akisisitiza kwamba chaguzi zilianza kiharibika mwaka 2020.
View attachment 3480940
No reforms No election somo limeeleweka kwa viwango vya juu kwa watanzania hongera nyingi kwa uongozi wa chadema
Kiukweli watz wameamuaKatibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na washindani wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua aliye bora zaidi.
"Siuoni uchaguzi kwa maana kwamba unapozungumzia ili tuweze kuita uchaguzi lazima kuwe na ushindani wa watu mbalimbali wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua kati ya wale wanaoshindana, Uchaguzi huu wa mwaka huu hauna ushindani wa aina yeyote, hauna washindani wa aina yeyote ambao wanaweza wakatushawishi sisi tukaanini kwamba kuna uchaguzi, Ukiniambia mimi naona nini mbele mimi naona giza kwa sababu naona uchaguzi wa chama kimoja"
Felix amefafanua chaguzi mbalimbali zilizopita akisisitiza kwamba chaguzi zilianza kiharibika mwaka 2020.
View attachment 3480940
Hahahaachadema wanachokifanya ni kama kumzuia mama kujifungu ikiwa yuko kwenye uchungu huu ni unyama wa hali ya juu na watanzania sio wajinga kwa hilo.
hii inamaana wanataka kuliuwa taifa kwa ujumla octo 29 naweweza kufananinisha na wakati wa mama tanzania kujifungua na kutuletea tumaini jipya kwa mi tano tena
watanzania wanaweka vema nani siri yao moyoni hakuna mtanzania yuko tayari kuliweka rehani taifa lake kienyeji nduguHahahaa
Nani wa kuchagua takataka ya zanzibar ππππKatibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge Mkoani Tabora Felix Lyata amesema uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepoa kwa sababu ajenda ya 'No Reforms no Election imeeleweka kwa wananchi huku akisisitiza kwamba ili uchaguzi uweze kuitwa uchaguzi ni lazima kuwepo na washindani wenye nguvu ili wananchi waweze kuchagua aliye bora zaidi.