Sasa hivi kachoka kama choo cha maguniaSasa hana nguvu tena, hata akili zake ni kama kuna fuse zimekata!
Usnitch una malipo yake mwishoni, unayemshushua na yeye ni lazima atakushushua hata kama ni baada ya kwenda zako huko...
Amebaki na maskio tu!
Hata vikofia vyake havitulii kichwani ...