Hiyo haina maana bali ni kitu useless kabisa,
Na hicho ndicho kinawatesa mioyo na kuwaathiri wengi wao kisaikolojia kwa sasa, mpaka kufikia hatua ya kufurahia na kushangilia misiba au umauti wa ndugu,jamaa na marafiki zao waliopatwa na misiba au umauti, hususani wenye maoni tofauti na yao.
Na athari zaidi, ndio hizi tunaziona kwenye kuzomea zomea, na kuona kila kitu kwao ni kibaya, na kila mwenye maoni tofauti na yao ni mbaya na ni adui yao.
Na niwahakikishie tu, hiyo nonsense hawezi kubadili chochote, ispokua kuawathiri zaidi wao kisaikolojia, na itapelekea baada ya miaka miwili au mitatu ijayo, wengi wao kujikuta wakiwa na changamoto za afya ya akili au changamoto za moyo, kwasababu ya chuki binafsi useless wanazoendekeza mioyoni mwao 🐒