elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
- Thread starter
- #21
Alikubari kuwa yeye ndiye alimpiga risasi ya kichwa baba yake na mkono mama yake na mdogo wake akammalizia mama yake kwa kumpiga risasi nyingine mpili na kumfumua kichwa.A
alisemaje mkuu hebu nishushie au mpaka nikatafute
Pia anadai sababu ni kwamba walikuwa wakiishi kwa hofu ya kuwa baba yao atawaua kwakuwa alikuwa akiwapiga na kuwatesa hata kuwaingilia kinyume na maumbile, hivyo alijua ipo siku watakuja sema kwa hiyo angewaua kabla ya wao kutoa siri.
Kuhusu mama yao anadai alijua yote waliyokuwa wanafanyiwa na baba yao lakini hakufanya lolote juu yakuwasaidia.
Pia anasema ana amani kuwa gerezani kwakuwa ndiko anadhani anatahili kuwa kwa kuwaua wazazi wake.
Sasa sijui anyoasema alikuwa anafanyiwa na baba yake yana ukweli