M-23 waizingira Goma

M-23 waizingira Goma

Hilo linchi ni likubwa sana, management imeshawashinda serikali ya DRC, AU wameshindwa kutoa msaada, M23 anatamba day and night.
Serikali ya DRC haina lakufanya zaidi ya kutegemea huruma ya maharamia.

Binafsi nimekuwepo Goma, Masisi, Bunagana, Bukavu, Rutshuru, kabare, nyiragongo, walikale, Buluko, kalehe, lubero nk. Hili linchi likubwa sana waligawe tu mambo yaishe.
Mbona Australia, USA, Canada, Urusi, China na India ni makubwa kuliko DRC? SEMA Wakongomani wanapenda sana Bata
 
Back
Top Bottom