inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Una damu ya ubaguzi,sishangaiMuisraeli anafanya FAFO.
Mbona Australia, USA, Canada, Urusi, China na India ni makubwa kuliko DRC? SEMA Wakongomani wanapenda sana BataHilo linchi ni likubwa sana, management imeshawashinda serikali ya DRC, AU wameshindwa kutoa msaada, M23 anatamba day and night.
Serikali ya DRC haina lakufanya zaidi ya kutegemea huruma ya maharamia.
Binafsi nimekuwepo Goma, Masisi, Bunagana, Bukavu, Rutshuru, kabare, nyiragongo, walikale, Buluko, kalehe, lubero nk. Hili linchi likubwa sana waligawe tu mambo yaishe.
Sina Damu ya kibaguzi soma comments zangu humu ila napenda kusema ukweli.Una damu ya ubaguzi,sishangai
Una ubaguzi ndani ya damuSina Damu ya kibaguzi soma comments zangu humu ila napenda kusema ukweli.
Tuhuma zako hazina ushahidi wowote.Una ubaguzi ndani ya damu
Kagame alishasema yeye hausiki, na pia kama Rwanda ingekuwa sehemu ingine kijiographia, Je Wakongo wangesaje? Au kusingekuwa na Rwanda maama yake Kongo ingekuwa Salama?Kagame anatumika na Mabeberu kuchafua hali ya hewa CONGO
Ndio ingekuwa salama kwa maelezo yao wakongoKagame alishasema yeye hausiki, na pia kama Rwanda ingekuwa sehemu ingine kijiographia, Je Wakongo wangesaje? Au kusingekuwa na Rwanda maama yake Kongo ingekuwa Salama?