Mjue sana Mungu, ili uweke vitu wazi na sio nusu nusu!M 2da P amefika Uwanja wa Jamhuri na Kumuaga rafiki yake Albert Mangweha a.k.a Ngwair
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
nimeshangaa tu katua saa ngapi dar na sasa tayari awepo moro?According to blogs, amerudi leo TZ na atashiriki mazishi leo jioni.
Kumbe alishatoka hospitali? Hajatoa tamko?
Bora aililie na yeye nafsi yKe.
nimeshangaa tu katua saa ngapi dar na sasa tayari awepo moro?
au kapelekwa na helkopta?
hapa mimi nimeuliza alitua dar saa ngapi?Mkuu.
Kwani Dar mpaka Moro ukiwa na private si ni mwendo wa masaa 4 na nusu tu! Tatizo liko wapi?!
hapa mimi nimeuliza alitua dar saa ngapi?
kama jana alilala SA na nadhani SAA toka Joburg inatua dar saa 7 hivi. muda huu ni saa 9, na ukitoka airport na yale mafoleni mpaka kufika moro mtu anaweza tumia chini ya masaa 2?
M 2da P amefika Uwanja wa Jamhuri na Kumuaga rafiki yake Albert Mangweha a.k.a Ngwair
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mkuu.
Kwani Dar mpaka Moro ukiwa na private si ni mwendo wa masaa 4 na nusu tu! Tatizo liko wapi?!
tena ni mengi sana hayo hata masaa 3 unakanyaga