M 2da P akiuaga mwili wa Ngwair

M 2da P akiuaga mwili wa Ngwair

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
PicsArt_1370514327975-484637930.jpg
 
M 2da P amefika Uwanja wa Jamhuri na Kumuaga rafiki yake Albert Mangweha a.k.a Ngwair

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mjue sana Mungu, ili uweke vitu wazi na sio nusu nusu!
 
nimeshangaa tu katua saa ngapi dar na sasa tayari awepo moro?
au kapelekwa na helkopta?

Mkuu.

Kwani Dar mpaka Moro ukiwa na private si ni mwendo wa masaa 4 na nusu tu! Tatizo liko wapi?!
 
Mkuu.

Kwani Dar mpaka Moro ukiwa na private si ni mwendo wa masaa 4 na nusu tu! Tatizo liko wapi?!
hapa mimi nimeuliza alitua dar saa ngapi?
kama jana alilala SA na nadhani SAA toka Joburg inatua dar saa 7 hivi. muda huu ni saa 9, na ukitoka airport na yale mafoleni mpaka kufika moro mtu anaweza tumia chini ya masaa 2?
 
Usikariri..Ndege ya Shirika la S.AFRICA inakuja mara mbili kwa siku..kuna moja inaingia jioni saa moja na nyingine saa7 mchana...yaweza kuwa alikuja na ya jana usiku!
 
kweli ni huzuni kubwa
amshukuru sana Mungu aliyemnusuru.

R.I.P Ngwea
 
Kifo cha ngwea kiwe fundisho kwake na vijana wote wanaotumia dawa za kulevya
 
tena ni mengi sana hayo hata masaa 3 unakanyaga

Dar Moro max. masaa matatu kwa private car. Hiyo nahesabia ukitoka ubungo mataa sababu foleni za city center hazitabiliki!
 
Back
Top Bottom