M.A in Economics vs M.A Applied Economics

mwayacity

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
23
Reaction score
1
Wadau mwenye ujuzi naomba tofauti iliyopo kati ya hizo course yaani Master of arts in Economics na Master of Art in Applied Economics. Pia which one is marketable?
 
MA in economics unasoma economics yote kwa ujumla, hyo applied unaspecialze.. applied ni nzuri kama una mpango wa kuwa researcher au uko kwenye higher learning organizations namaana kama we ni lecturer.
 
Applied Economics unadeal na real world na uwe mzuri kwenye mathematics (QM, Econometrics,etc) kwa sana ultimately both can work in the same environment.
 
kwani kwenye real work ni wakati gani tuna apply mathematical economics?
 
Thanx !Perry but nadhani una ufahamu kuhusu jambo hili,mpango wangu ni kufanya m.a. applied economics lengo nifundishe higher instituitions! VP itanifaa given B.a.ni 3.8 G.P.A
 
Unamuuliza dogo aliemaliza chuo mwaka jana tu hahahaha
 
Thanx !Perry but nadhani una ufahamu kuhusu jambo hili,mpango wangu ni kufanya m.a. applied economics lengo nifundishe higher instituitions! VP itanifaa given B.a.ni 3.8 G.P.A

unaweza kabisa, mimi nina 3.5 na bado sijakata tamaa ya kufundisha higher learning institutions
 
Wewe ulie maliza '67 mbona husemi chochote? knowledge haina umri kilaza mkubwa wewe shut up!

Mimi kilaza ndio lakini wewe ni mbumbumbu maana unasema una hiyo GPA ya 3.8 lakini hujui qualifications za kusoma masters hiyo tuache tena hujui hata uspecialize kwenye kitu gani duuh bora nibaki na u kilaza wangu lakini sio umbumbumbu wako....kama nimekukwaza nisamehe....
 
ila we jamaa ni mgomvi,kwani me kumshauri huyu mshkaji ndo umdharau?ushauri hutolewa na mtu yeyote,ingekua hvyo maprofesa ndo wangekua viongoz wa hii nchi lakni angalia watu kama akna lema,msigwa,kafulila ndo wako kwenye tabaka tawala.
 
Back
Top Bottom