Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani kwenye real work ni wakati gani tuna apply mathematical economics?Applied Economics unadeal na real world na uwe mzuri kwenye mathematics (QM, Econometrics,etc) kwa sana ultimately both can work in the same environment.
Thanx !Perry but nadhani una ufahamu kuhusu jambo hili,mpango wangu ni kufanya m.a. applied economics lengo nifundishe higher instituitions! VP itanifaa given B.a.ni 3.8 G.P.A
Unamuuliza dogo aliemaliza chuo mwaka jana tu hahahaha
Unataka kusema hayo maneno ndio pekee unayoyamiliki?Wewe ulie maliza '67 mbona husemi chochote? knowledge haina umri kilaza mkubwa wewe shut up!
Thanx !Perry but nadhani una ufahamu kuhusu jambo hili,mpango wangu ni kufanya m.a. applied economics lengo nifundishe higher instituitions! VP itanifaa given B.a.ni 3.8 G.P.A
Wewe ulie maliza '67 mbona husemi chochote? knowledge haina umri kilaza mkubwa wewe shut up!
Mimi kilaza ndio lakini wewe ni mbumbumbu maana unasema una hiyo GPA ya 3.8 lakini hujui qualifications za kusoma masters hiyo tuache tena hujui hata uspecialize kwenye kitu gani duuh bora nibaki na u kilaza wangu lakini sio umbumbumbu wako....kama nimekukwaza nisamehe....