M.A inayolipa kwa mwenye BA with Ed Geo&Kisw.

M.A inayolipa kwa mwenye BA with Ed Geo&Kisw.

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Naomba msaada wa mwongozo wakuu,
napenda kufanyia hasa Uganda, pia gharama yake,
Ahsanteni wadau.
N:B pia naomba tujadili hata vyuo vya hapa nyumbani.
 
Naona mnapita faster kuelekea Jukwaa la siasa, ....
 
Back
Top Bottom