Mbet ndiyo kitu gani mkuu ?. au meridian bet ?
naona betting imekuwa ni ajira iliyozoa vijana wengi kwa sasa Tz. Hongera ccm kwa kutimizani ilani yenu ya kuongeza ajira kwa vijana
Nikajua meridian mkuu, ahsante kwa kunielewesha mana angekuwa mwingine angejua nimemsanifuMbet ni betting ya kwy simu kupitia Mpesa mkuu
Betting ni worlwide mkuu,tena nchi zilizoendelea wanafanya betting kuliki huku,na betting si kwa wasio na ajira tu,waajiriwa kibao,wafanya biashara kibao nao ufanya betting,mimi mwenyewe nina biashara zangu mkuu,lakini betting iko ndani ya damu,nilisha onja 4,700,00 kwy betting kwa 20,000 ndio maana nimekua mgonjwa wa hii kitu
Ulishinda mechi zipi
Makocha na wachezaji wa ulaya asilimia kubwa wanabet, betting haina tofauti sana na ununuaji na umiliki wa hisaBetting ni worlwide mkuu,tena nchi zilizoendelea wanafanya betting kuliki huku,na betting si kwa wasio na ajira tu,waajiriwa kibao,wafanya biashara kibao nao ufanya betting,mimi mwenyewe nina biashara zangu mkuu,lakini betting iko ndani ya damu,nilisha onja 4,700,00 kwy betting kwa 20,000 ndio maana nimekua mgonjwa wa hii kitu
yap nakubaliana na wewe na ongera kwa kuvuna izo keshi mkuu. lakini kwa sasa mind set ya vijana wengi wasio na ajira tz imejikita katika betting na ndio maana unaona muhindi anazidi kupiga faida.
Bora ungewahi ofisi za hao jamaa, huku tutakushauri nini????? Mie siamini katika cheap money hivyo nitakuambia kimbia hapo hauko salama.
Jamaa hawana longolongo watakulipa tuNiko mkoa mkuu,ila nashukuru jamaha nimeongea nao wanadai kulikua na tatizo la kimtandao,ila muda si mrefu wataingiza mzigo
Utalipwa mkuu tuliza mzuka, wiki hii naona wanatatizo la mtandao watu wengi hawajaingiziwa pesa.
Walishani ingizia mzigo mkuu,kweli walikua na tatizo la mtandao