M-Bet mmekua matapeli?

M-Bet mmekua matapeli?

mtoromkuu

Senior Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
147
Reaction score
39
Ni siku ya nne sasa nina bet kupitia MBET na kama kawaida uwa nakatwa hela za kulipia gharama ya kununua ticket,lakini cha ajabu kwa siku zote nne hizo sikua kupata msg toka kwa MBET as a reference ya malipo yangu na ticket yangu,kilichonistua na kunisikitisha ni kua juzi nilishinda kupitia hii kampuni ya MBET lakini mpaka leo sijapata malipo yangu mpaka leo hii jumatano ya tarehe 8 april,nauliza je hii kampuni imeanza usanii au wamefikwa na nini?
 
Watimbie ofisini kwao kakinukishe man angu au nikodi jeshi la mtu moko niende kuwajambish
 
naona betting imekuwa ni ajira iliyozoa vijana wengi kwa sasa Tz. Hongera ccm kwa kutimizani ilani yenu ya kuongeza ajira kwa vijana
 
Betting ni worlwide mkuu,tena nchi zilizoendelea wanafanya betting kuliki huku,na betting si kwa wasio na ajira tu,waajiriwa kibao,wafanya biashara kibao nao ufanya betting,mimi mwenyewe nina biashara zangu mkuu,lakini betting iko ndani ya damu,nilisha onja 4,700,00 kwy betting kwa 20,000 ndio maana nimekua mgonjwa wa hii kitu
 
yap nakubaliana na wewe na ongera kwa kuvuna izo keshi mkuu. lakini kwa sasa mind set ya vijana wengi wasio na ajira tz imejikita katika betting na ndio maana unaona muhindi anazidi kupiga faida.
 
Makocha na wachezaji wa ulaya asilimia kubwa wanabet, betting haina tofauti sana na ununuaji na umiliki wa hisa
 
Bora ungewahi ofisi za hao jamaa, huku tutakushauri nini????? Mie siamini katika cheap money hivyo nitakuambia kimbia hapo hauko salama.
 
yap nakubaliana na wewe na ongera kwa kuvuna izo keshi mkuu. lakini kwa sasa mind set ya vijana wengi wasio na ajira tz imejikita katika betting na ndio maana unaona muhindi anazidi kupiga faida.

Ni kweli uko sahihi kabisa mkuu,nchi iko harijojo,viwanda hakuna,ajira hakuna,vijana wanajitupa kwy betting na bodaboda
 
Bora ungewahi ofisi za hao jamaa, huku tutakushauri nini????? Mie siamini katika cheap money hivyo nitakuambia kimbia hapo hauko salama.

Niko mkoa mkuu,ila nashukuru jamaha nimeongea nao wanadai kulikua na tatizo la kimtandao,ila muda si mrefu wataingiza mzigo
 
Jamaa hawana longolongo watakulipa tu
mdau wala usihofu.
 
Utalipwa mkuu tuliza mzuka, wiki hii naona wanatatizo la mtandao watu wengi hawajaingiziwa pesa.
 
UK inaoongoza kwa betting kuanzia wachrzaji, makocha.
Las Vegas nadhani mwaijua kwa Casinos
Macau kwa Casinos
Gilbratar ndo mkuu zaidi kwani kampuni nyingi zimesajiliwa huko
 
Mwanzon ulikuwa ukibet through m pesa wanakutumia ticket but siku hz ukibet wanaweza wasikupe ticket mimi nina bet ktk voda (m bet) na ninabet kwenye mtandao wao pia (m bet web).NIKIBET KWENYE M BET HAWANIP TICKET BUT NIKILOG IN NAKUTA TICKET YANGU IMEKUWA PAID AS IF NIMEBET MTANDAON.MATATIZO MADOGO MADOGO HAYO HAYAKOSEKAN NA WANAJIPANGA TARATIBU,FANYA MPANGO UFUNGUE ACCOUNT WANA OPTION NYING ZAID.
 
Back
Top Bottom