kwahyo unataka upangie watu matumizi eti? wewe nenda uka-honge wacha watu wafanye wanachojisikia,alafu nikuambie tu betting hapo tz tu na wala haikuanzia tz,Ungejua kamari haijawahi mtajirisha mtu yoyote taifa linapokea kodi lakini makampuni hayo ya nje yanachukua pesa za watanzania wengi walalahoi.
Zawadi zinazotolewa hata 1% inaweza isifike na ikumbukwe kodi mnalipa nyie wacheza kamari wao wanaondoka na pesa za watanzania wanyonge.
Yaani kwa lugha nyepesi BABA(SERIKALI ) anakubali TAPELI( makampuni ya kamari yote),awatapeli watoto wake(WATANZANIA waliocheza,wanaocheza kamari au watakaocheza) kwa kuwa tu huyu BABA ataachiwa/anaachiwa kiasi kidogo ambacho watoto wake wanatapeliwa....
Mwisho wa siku ni hasara tu kwa hiyo familia nzima kiujumla.....
Jamani msaada naulizia ofisi za kampuni ya Mbet, kuna mkeka nilibeti na matokeo yakaenda kama nilivyobashiri lakini kucheki wao wameandika not win.. Nimepiga sana namba zao za customer care hakuna hata moja inayopatikana.... Nauliza kama kuna mtu anazijua ofisi zao mahali zilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahyo unataka upangie watu matumizi eti? wewe nenda uka-honge wacha watu wafanye wanachojisikia,alafu nikuambie tu betting hapo tz tu na wala haikuanzia tz,
kingine mtu anayebet sio kwamba hafanyi kazi acha kukalili hiyo kitu,Zile pesa unazopeleka kwa madada poa wenzako ndio wanajaribu bahati yao.
Kupata mashine zao uwe wakala ipoje?Nimehamia sportpesa kwa sasa.. Mpaka ofisi zao nazijua zilipo na jamaa ni international
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha uwongo wwUngejua kamari haijawahi mtajirisha mtu yoyote taifa linapokea kodi lakini makampuni hayo ya nje yanachukua pesa za watanzania wengi walalahoi.
Zawadi zinazotolewa hata 1% inaweza isifike na ikumbukwe kodi mnalipa nyie wacheza kamari wao wanaondoka na pesa za watanzania wanyonge.
Yaani kwa lugha nyepesi BABA(SERIKALI ) anakubali TAPELI( makampuni ya kamari yote),awatapeli watoto wake(WATANZANIA waliocheza,wanaocheza kamari au watakaocheza) kwa kuwa tu huyu BABA ataachiwa/anaachiwa kiasi kidogo ambacho watoto wake wanatapeliwa....
Mwisho wa siku ni hasara tu kwa hiyo familia nzima kiujumla.....
Wacha uwongo ww
Watu wanakula mamilion kwa ajili ya kubet, juzi kuna mtu kala M 284 mbet unasema kamali haijawahi kumtajirisha mtu
Kama ww unacheza unaliwa ujue kuna watu wana winn
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi mwanzo walikuwa wananitumia lakini nashangaa kadri siku zilivyokuwa zinaenda kona kona zikaanza
Jamaa wamejikita sana onlineKupata mashine zao uwe wakala ipoje?
hakuna kazi ngumu kama kubet.Kazi ni shughuli yeyote inayotumia nguvu (na) au akili. Kwani kubet hiatumii akili na nguvu kiasi?
nitajie mtu alietajirika kwa kunywa pombe.....kuna watu wamseshinda milioni 100 kwa kubet halafu unasema hakuna aliewahi kutajirika wewe kweli mwehuNaamini unaongea kama mmoja wale mliokuuwa na uraibu wa kamari suala sio kupangiwa matumizi
Mimi nimemjibu aliyeniuliza kama najua TAIFA Linapata kodi nyingi!? Na Ndio nikamfahamisha watu wake wanapoteza pesa mara nyingi zaidi sana kuliko kodi inayochukua na hii inaenda kwa mabeberu wanaomiliki hizo kampuni.
Wewe kama unacheza endelea tu na kamari halafu utanikumbuka siku moja.....
Tumeona mengi kamari haijamuacha mtu salama kama una wazee wamekula chumvi uliza utaambiwa....
Na pole kwa kunielewa vibaya sijakupangia matumizi mkuu....
kila kitu inaitajika disipline ya hali ya juu mkuu hakuna biashara isiyokuwa na hasaraHujui kitu ndugu tulia hivyo hivyo,
Kwanza milioni 300 za kitanzamia sio utajiri kiuhalisia hata nyumba katikati ya jiji hupati.
Halafu huyo unaweza kuja kumtafuta baada ya miaka mitatu ukakuta kishawarudishia milioni 400.
Msitumwe kudanganya watu humu
Nina uzoefu kwenye kamari kuliko unavyofikiri nimefanya kazi kwenye casino kabla betting ya mpira haijaingia na sasa betting za mpira zinafanyika hata casino.
KAMARI HAIFAI MWISHO UTAMWEKA DADAKO REHANI,UKIMALIZA UTAMWEKA MKE REHANI,YAANI HAINA ADABU UNAWEZA KULAZA FAMILIA NJAA.
MATAJIRI WAKUBWA WAKUBWA WAMEFILISIKA KWA AJILI YA KAMARI NDO MAANA NAWAAMBIA ULIZENI KWA WALIOKULA CHUMVI MTAAMBIWA, KAMA MMETOKA VIJIJINI TUULIZENI TUNALOLIJUA JIJI HAPA.
Na kwa msaada wa ziada kuna link hii hapa Can You Become Rich Through Gambling? maanake wabongo mpaka muandikiwe na wataalamu tena kwa kimombo ndo mtaelewa
nitajie mtu alietajirika kwa kunywa pombe.....kuna watu wamseshinda milioni 100 kwa kubet halafu unasema hakuna aliewahi kutajirika wewe kweli mwehu
kila kitu inaitajika disipline ya hali ya juu mkuu hakuna biashara isiyokuwa na hasara
kamari ni biashara yenye faida kubwa ukiwa na displine....unaweza kupata milioni 100 ndani ya siku moja tu....nitajie biashara unayoweza kuingiza kiasi hicho kwa sikuNdugu hata kuchangia mada kunahitaji discipline
Mada ni kuhusu kamari SIJASEMA POMBE NI SAWA.
KAMARI SIO BIASHARA KWA WACHEZAJI
Ukiwa mlevi ni rahisi kupatiwa msaada wa kimatibabu na ushauri, uraibu wa KAMARI NI HATARI, kwanza hakuna atakayejua una matatizo, pili uraibu wa kamari huwa waathirika wengi wanachelewa kujua kuwa ni TATIZO mpaka mwisho sana,
Hakuna pesa itakayokaa uraibu ukikuingia kila mara akili hufikiria KAMARI tu na hakuna kipimo kuwa sasa ni mwisho, kuna watu wanapoteza mpaka milioni 50 kwa siku, sasa niambie kama unaweza ukanywa pombe za milioni 50.
Humu kuna watu mbalimbali msipoteze umma kwa kuwadanganya.
Boss umeliwa huo Mkeka wewe huoni hapo juu wamekuandikia multiple bet na wewe umecheza normal huwadai hao
Kama huo Mkeka ndiyo mwisho kama unvyoonyesha umeliwa jaribu kusoma maelezo ukicheza multiple ni mchanganyiko sasa wewe umechagua multiple bet then umecheza normal then unalalamika umeibiwa mbet hawakuibii Bali wewe ndiye unayejiibia mkuu siku nyingine angalia unachochagua kabla hujabet unawapa watu lawama bure wakati kosa la kwako
Huu mbona na pesa wametuma tayariBoss umeliwa huo Mkeka wewe huoni hapo juu wamekuandikia multiple bet na wewe umecheza normal huwadai hao
Sent using Jamii Forums mobile app