M-Bet ni matapeli?

M-Bet ni matapeli?

kamari ni biashara yenye faida kubwa ukiwa na displine....unaweza kupata milioni 100 ndani ya siku moja tu....nitajie biashara unayoweza kuingiza kiasi hicho kwa siku

Hiyo unayoiita biashara kuna waliopata milioni 300 kilimanjaro casino kwa masaa tu hata siku haikufika lakini kaulize leo wako wapi ndo utaelewa ninachikieleza nina list ya watu zaidi ya 100 ambao walikuwa wanajulikana hususan kwa hapa Dar na sasa hawana kitu kabisa kwa ajili ya kamari.

Kwa kuelewa zaidi katembelee kila casino utapewa historia ya watu wao waliokuwa wanatamba na leo hii hawana kitu.

Na ukitaka kujua ni tatizo wewe unajiita laki si pesa wakati kwa wengine ni mshahara wa mwezi mzima lakini kwa kuwa wewe unapenda kamari tayari hadi laki unaona sio pesa ... ukiendelea kushiriki kamari hata sh bilioni utaona si pesa....
 
Kama huo Mkeka ndiyo mwisho kama unvyoonyesha umeliwa jaribu kusoma maelezo ukicheza multiple ni mchanganyiko sasa wewe umechagua multiple bet then umecheza normal then unalalamika umeibiwa mbet hawakuibii Bali wewe ndiye unayejiibia mkuu siku nyingine angalia unachochagua kabla hujabet unawapa watu lawama bure wakati kosa la kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mbona mmekurupuka kunijibu bila kufanya uchunguzi kwanza huo mkeka hapo juu nimekula pili mm siyo mtoa mada nilikuwa namuonyesha mfano tu mtoa mada na cha mwisho team ikishinda matokeo utolewa kwa alama ya kijani

Acha kumdanganya banaaaa...multiple bet inacombine aina zote za betting zilizopo so kazi ni kwako ktk mkeka wako uchanganye aina IPI na IPI ya betting au uweke za aina moja.mfano mtu anaweza akaweka match ya kwanza akabashiri double bet,match ya pili normal na ya tatu both team to score au nyinginezo na mwingine anaweza akachagua aina moja tu ya betting mfano under/over au normal tu kama jamaa alivyofanya.Hilo tatizo hata mimi liliwahi kunitokea maana nilikula alaf ukiingiza mkeka unasoma nimepigwa then nikawafata ofisini kwao mambo yakaenda vzr...sema jamaa aseme yupo mkoa gan tujue namna ya kumsaidia maana huo mkeka ni pesa.....angekua amekosea masharti ya kubet hapo kwny magoli wangemuandikia kwa maandishi mekundu ht km mechi zimeenda sawa.Ingia app yao then nenda kwny maelekezo ya namn ya kubet multiple utanielewa vzr zaidi.
 
Wakuu mbona mmekurupuka kunijibu bila kufanya uchunguzi kwanza huo mkeka hapo juu nimekula pili mm siyo mtoa mada nilikuwa namuonyesha mfano tu mtoa mada na cha mwisho team ikishinda matokeo utolewa kwa alama ya kijani

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa umetuma mkeka wako wa kaz gan wakat sio kesi tunayozungumzia wala ww sio mtoa maada...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emma El chapo unapokuwa na mashaka ya kutapeliwa haki yako, nenda bodi inayosimamia mambo ya Bet nchini. Abas Tarimba ni mkurugenzi wa bodi ya michezo ya bahati nasibu tanzania yaani Gaming Board of Tanzania (GBT). Ofisi zao zipo 3rd Floor, Harbour View Towers, Dar es Salaam, Tanzania; +255-22-2124703 www.gamingboard.go.tz

Makampuni note ya Bet yapo chini yao maana kisheria wanayo wajibu wa kuzisimamia makampuni hayo na kuhakikisha walaji/watumiaji wanapata haki zao.

kama ni kweli peleka ushahidi wako wote, hakika utapata haki yako pale.
 
Back
Top Bottom