Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Wakuu naona soka la bongo linazidi kupiga hatua.
Kampuni ya ubashiri katika mpira wa miguu (M-bet) . yaingia mkataba na klabu ya ya soka inayomilikiwa na halmashauri ya manispaa ya kinondoni ( KMC FC). Mkataba ni wa miaka mitano na una thamani ya Pesa za kitanzania Bilioni 5.
Hongera sana KMC mjihadhari na migogoro tu maana yasije yakawatokea yale ya Stand United.