M-Bet yaipa udhamini mnono KMC

M-Bet yaipa udhamini mnono KMC

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu naona soka la bongo linazidi kupiga hatua.

Kampuni ya ubashiri katika mpira wa miguu (M-bet) . yaingia mkataba na klabu ya ya soka inayomilikiwa na halmashauri ya manispaa ya kinondoni ( KMC FC). Mkataba ni wa miaka mitano na una thamani ya Pesa za kitanzania Bilioni 5.

Hongera sana KMC mjihadhari na migogoro tu maana yasije yakawatokea yale ya Stand United.

FB_IMG_1566380459302.jpeg
 
Kuna sehem kama nmesoma ni Bilion 1 kwa 5 years ama nmeona vibaya. But all in all ni jambo zur sana kwa Club zetu... Ach yule Ded Msomali aendlee kusema tu kwamba bado tuko kwenye mchakato wa kumpata mdhamin wa ligi kuu.
 
Hivi hadi leo hajapatikana tu??? Dah
 
Kuna sehem kama nmesoma ni Bilion 1 kwa 5 years ama nmeona vibaya. But all in all ni jambo zur sana kwa Club zetu... Ach yule Ded Msomali aendlee kusema tu kwamba bado tuko kwenye mchakato wa kumpata mdhamin wa ligi kuu.
Yeah ni 1B for 5 years... 200m kwa mwaka.
Poster wetu ana haraka sana mkuu
 
Mechi ya KMC na hao Wanyamukenge saa ngapi kesho?
 
Back
Top Bottom