Hivi hadi leo hajapatikana tu??? DahKuna sehem kama nmesoma ni Bilion 1 kwa 5 years ama nmeona vibaya. But all in all ni jambo zur sana kwa Club zetu... Ach yule Ded Msomali aendlee kusema tu kwamba bado tuko kwenye mchakato wa kumpata mdhamin wa ligi kuu.
Yeah ni 1B for 5 years... 200m kwa mwaka.Kuna sehem kama nmesoma ni Bilion 1 kwa 5 years ama nmeona vibaya. But all in all ni jambo zur sana kwa Club zetu... Ach yule Ded Msomali aendlee kusema tu kwamba bado tuko kwenye mchakato wa kumpata mdhamin wa ligi kuu.