meneja kama huyu ni hatari kwa ustawi wa mchezaji husika, kwa namna anavyokiwasha zimbwe wakala hakupaswa kupovuka vile, alipaswa kuangalia ofa zingine kama simba wanazinguandicho ninachowaambia watu hapa eti wanamsifu meneja kwamba kafanikisha hili jambo..subiri sasa manula atakavyoongezewa mkataba juu ya mkataba maana yeye anatekenya kijanja kwamba anahitajika teams za nje hakuna vurugu wala majibishanao kiwango anaonyesha huku anawajambisha
Dah yaani hadi nishaanza kumchukia zimbwe huu mkataba sijui hata kama hela yake ataifurahia pesa kama ya ugomvi au meneja kibaka yule ?
ni hasara kubwa zimbwe kuwa na meneja muhuni kama yuleNaona wengi mmechukizwa na Dogo kuongezwa mkataba, au hamtaki na yeye ale matunda ya juhudi zake? Simba ndiyo wenye makosa wangekaa nae mapema yote haya tusingeyajua na wangemalizana kimya kimya. Liwe fundisho kwa Viongozi wahuni wahuni kama kina Hans Pope ndiyo michezo yao, BIG UP Hery mzozo
Unaona sasa tuumizwe kwa lipi hapo?Wabongo wengi tunaendeshwa na wivu, hilo ndiyo naliona kwa baadhi ya washabiki wa Simba kuumizwa na huu usajili.
achana naye huyo wa hovyo kweli amesahau azam ilishusha mishahara maximum ikawa milioni 2 ,meneja wa kina boko,manula,kapombe akawapeleka simba leo manula nakula milion 8 ,boko 10 mbona hatukulalalmika mbona hasemi azam wana roho ya kwanini......Unaona sasa tuumizwe kwa lipi hapo?
Unaona sasa tuumizwe kwa lipi hapo?
yaani simba itukanwe redioni na meneja lihuni halafu tufurahie?na CEO anatukanwa juu
Una muuliza nani?Gadiel Michael ataongeza mkataba lini?