M.Hussein Zimbwe Jr aongeza mkataba Simba Sc

M.Hussein Zimbwe Jr aongeza mkataba Simba Sc

ndicho ninachowaambia watu hapa eti wanamsifu meneja kwamba kafanikisha hili jambo..subiri sasa manula atakavyoongezewa mkataba juu ya mkataba maana yeye anatekenya kijanja kwamba anahitajika teams za nje hakuna vurugu wala majibishanao kiwango anaonyesha huku anawajambisha
Dah yaani hadi nishaanza kumchukia zimbwe huu mkataba sijui hata kama hela yake ataifurahia pesa kama ya ugomvi au meneja kibaka yule ?
meneja kama huyu ni hatari kwa ustawi wa mchezaji husika, kwa namna anavyokiwasha zimbwe wakala hakupaswa kupovuka vile, alipaswa kuangalia ofa zingine kama simba wanazingua
 
Zimbwe kawatikisa kidogo wazee wa Bunju na wametikisika haswaaa!
 
Naona wengi mmechukizwa na Dogo kuongezwa mkataba, au hamtaki na yeye ale matunda ya juhudi zake? Simba ndiyo wenye makosa wangekaa nae mapema yote haya tusingeyajua na wangemalizana kimya kimya. Liwe fundisho kwa Viongozi wahuni wahuni kama kina Hans Pope ndiyo michezo yao, BIG UP Hery mzozo
ni hasara kubwa zimbwe kuwa na meneja muhuni kama yule
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Mzozo ni Mzozo kwelikweli sio jina tu vuruguzake anafunga mtaa.
Binafsi sina shida na Zimbwe ninaemmaind Mzozo maneno yake ya shombo kwa klabu yangu.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Unaona sasa tuumizwe kwa lipi hapo?
achana naye huyo wa hovyo kweli amesahau azam ilishusha mishahara maximum ikawa milioni 2 ,meneja wa kina boko,manula,kapombe akawapeleka simba leo manula nakula milion 8 ,boko 10 mbona hatukulalalmika mbona hasemi azam wana roho ya kwanini......
yaani simba itukanwe redioni na meneja lihuni halafu tufurahie?na CEO anatukanwa juu
 
Mimi Jambo hili sijalipenda kabisa kwasababu cc kama Simba hatuwezi kufanya kazi kwa maneno machafu ya mtu mwisho wa siku atakuja mwengine ataanza kama huyu mara atakuja manula mara kapombe mara nyoni hizi dharau kubwa sana sijapenda kabisa
 
  • Thanks
Reactions: mmh
wahuni wanaona noma kiasi cha kuzuia hata followers kukoment kwenye page zao

Screenshot_20210428-190114_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom