PreGE2025 M/kiti Mama Asemewe: Wapinzani acheni kulalamika, leteni hoja mezani

PreGE2025 M/kiti Mama Asemewe: Wapinzani acheni kulalamika, leteni hoja mezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mkiti wa Kampeni ya Mama asemewe Ndg Geofrey Kiliba amewataka Wapinzani kuacha kulalamika badala yake walete hoja na sera nzuri za kuwaeleza watanzania.

Amesisitiza wahoji na kukosoa kwa kutazama ilani ya CCM ilitaka serikali ifanye nini na hawajafanya nini kuliko kuendelea kuzusha mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kiliba amezungumza hayo katika Kongamano la Maazimio ya Wasomi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Mkoani Dodoma.

 
Nyie ndio ........... hata hamjitambui, mnaelewa maana ya wasomi, nyie sio wasomi bali ndio mnajifunza kuwa wasomi, wasomi hawapo vyuoni bali wapo huku mitaani ndio wanaona nchi inakwendaje sio nyie mnaotegemea boom la serikali.
Eti wasomi mnaongelea generator, hilo hata mtoto wa nursery school analijua, msomi njoo na hasara ya taasisi za umma zaidi ya shilingi b 380, hebu pungezeni uchawa japo nifursa maana hamuijui kesho yenu. watu kama nyie ndio mnachangia nchi inapigwa bila hatua zozote kuchukuliwa.
Eti wasomi, Usomi sio mchezo my friend, hata dissertation hujaandika unajiita msomi, wewe bado kindergarten tu wa kuitwa msomi na sio msomi.
 
Nyie ndio ........... hata hamjitambui, mnaelewa maana ya wasomi, nyie sio wasomi bali ndio mnajifunza kuwa wasomi, wasomi hawapo vyuoni bali wapo huku mitaani ndio wanaona nchi inakwendaji sio nyie mnaotegemea boom la serikali.
Eti wasomi mnaongelea generator, hilo hata mtoto wa nursery analijua, msomi njoo na hasara ya taasisi za umma zaidi ya shilingi b 380, pungezeni uchawa japo nifursa maana huijui kesho yako. watu kama nyie ndio mnachangi nchi inapigwa bila hatua zozote kuchukuliwa.
Eti wasomi, Usomi sio mchezo my friend, hata dissertation hujaandika unajiita msomi, wewe bado kindergarten tu na sio msomi.
Mtawapata hao mahayawani lkn watanzania wenye elimu zao mbona tumekwishawaelewa kitambo
 
Mkiti wa Kampeni ya Mama asemewe Ndg Geofrey Kiliba amewataka Wapinzani kuacha kulalamika badala yake walete hoja na sera nzuri za kuwaeleza watanzania.

Amesisitiza wahoji na kukosoa kwa kutazama ilani ya CCM ilitaka serikali ifanye nini na hawajafanya nini kuliko kuendelea kuzusha mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kiliba amezungumza hayo katika Kongamano la Maazimio ya Wasomi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Mkoani Dodoma.

Haya nendeni VETA sasa maana elimu ya chuo haijawakomboa kifikra pumbavu zenu.
 
Hawa ni kama walienda vyuoni ili wawe punguani!!

Huyo punguani chawa aoneshe kwenye ilani ya CCM, iliposema kuwa CCM itapora rasilimali za nchi na kuwagawia waarabu.
 
Back
Top Bottom