Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mtawapata hao mahayawani lkn watanzania wenye elimu zao mbona tumekwishawaelewa kitamboNyie ndio ........... hata hamjitambui, mnaelewa maana ya wasomi, nyie sio wasomi bali ndio mnajifunza kuwa wasomi, wasomi hawapo vyuoni bali wapo huku mitaani ndio wanaona nchi inakwendaji sio nyie mnaotegemea boom la serikali.
Eti wasomi mnaongelea generator, hilo hata mtoto wa nursery analijua, msomi njoo na hasara ya taasisi za umma zaidi ya shilingi b 380, pungezeni uchawa japo nifursa maana huijui kesho yako. watu kama nyie ndio mnachangi nchi inapigwa bila hatua zozote kuchukuliwa.
Eti wasomi, Usomi sio mchezo my friend, hata dissertation hujaandika unajiita msomi, wewe bado kindergarten tu na sio msomi.
na wasisahau kujiunga na NETOMkihitimu endeleeni kuzungumza hivonhivo.
Ngoja waje mtaani ambako hakuna boom ndi watatuelewa nini tulikua tunakimaanisha.Mkihitimu endeleeni kuzungumza hivonhivo.
Haya nendeni VETA sasa maana elimu ya chuo haijawakomboa kifikra pumbavu zenu.Mkiti wa Kampeni ya Mama asemewe Ndg Geofrey Kiliba amewataka Wapinzani kuacha kulalamika badala yake walete hoja na sera nzuri za kuwaeleza watanzania.
Amesisitiza wahoji na kukosoa kwa kutazama ilani ya CCM ilitaka serikali ifanye nini na hawajafanya nini kuliko kuendelea kuzusha mambo yasiyokuwa na tija kwa taifa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kiliba amezungumza hayo katika Kongamano la Maazimio ya Wasomi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Mkoani Dodoma.