M/Kiti wa BAZECHA Taifa, Hashim Juma Issa aomba radhi watanzania kwa kauli zake za udini

M/Kiti wa BAZECHA Taifa, Hashim Juma Issa aomba radhi watanzania kwa kauli zake za udini

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mzee anajihangaisha bure.. Viongozi wa Chadema hawajawahi kujiweka kando na kauli za maaskofu na wachungaji hapo ndio unaona unafiki wao. Tena hutembea nao kwenye majukwaa
 
kaeleweka. kosa lake alivyoielezea hoja yake. lakini kwa suala la Zanzibar kujiunga Oic sioni shida kwa upande wangu.
 
Uungwana siyo unyonge. Big up mzee Hashimu.
 
Huyu mzee inabidi afinywe kwanza hayo MABUSHA yake, ili akili imkae vizuri
 
Sasa atulize maruhaniyake, mdomo huponza kichwa.
 
Alionyesha siasa za kishamba , agenda kubwa ni kutoa chama chakavu kilichokaa miaka 60 madarakani ila bado kinahadaa watu na ahadi za maji na barabara za lami.
 

Alichosema ndicho kilichoujaza moyo wake...ukweli upo hapo, kukosea au kuomba radhi hakuzuii ukweli uliomsukuma kusema aliyoyasema.​

 
Maji yakisha mwagika hayazoleki.
Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia.
Kauli za kidini zipo tuu hata Godbless Lema anezitoa mara nyingi muhimu ni kuwa katambua kosa lake na kaomba radhi.
Samehe saba mara sabini yakhe!!
 
Maji yakisha mwagika hayazoleki.
Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia.
Kajitahidi kuyazoa lakini kaishia kuoga tope linalonuka. Anajaribu kujisafisha kwa kudanganya kwamba watu hawakumuelewa. Rejea hiyo clip ndo utagundua hapa Duniani ogopa vitu viwili. Mungu na teknolojia
 
Back
Top Bottom