The Last Man Standing
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 475
- 525
Hata kwa mwonekano wake, unatambulisha yeye ni mtu wa aina gani . Tumpuuze tu kwa kauli zake hizi ila tujue kuwa hayo mawazo yake ya aiana hiyo yako pia vichwani mwa wengine wengi wa aian aina yake.Maji yakisha mwagika hayazoleki.
Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia.