Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Yes,Mzee Hashim Juma Issa, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Taifa aomba radhi watanzania kwa kauli yake.
View attachment 3115190
Pia soma
Kuomba radhi ni UungwanaMaji yakisha mwagika hayazoleki.
Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia.
Kauli za kidini zipo tuu hata Godbless Lema anezitoa mara nyingi muhimu ni kuwa katambua kosa lake na kaomba radhi.Maji yakisha mwagika hayazoleki.
Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia.
Kajitahidi kuyazoa lakini kaishia kuoga tope linalonuka. Anajaribu kujisafisha kwa kudanganya kwamba watu hawakumuelewa. Rejea hiyo clip ndo utagundua hapa Duniani ogopa vitu viwili. Mungu na teknolojiaMaji yakisha mwagika hayazoleki.
Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia.