The Last Man Standing JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 475 Reaction score 525 Oct 4, 2024 #21 masopakyindi said: Maji yakisha mwagika hayazoleki. Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia. Click to expand... Hata kwa mwonekano wake, unatambulisha yeye ni mtu wa aina gani . Tumpuuze tu kwa kauli zake hizi ila tujue kuwa hayo mawazo yake ya aiana hiyo yako pia vichwani mwa wengine wengi wa aian aina yake.
masopakyindi said: Maji yakisha mwagika hayazoleki. Ulitaja udini mbaya kuwa sasa viongozi wote wa juu ni waislamu hivyo Zanzibar iingie OIC, kwa kuanzia. Click to expand... Hata kwa mwonekano wake, unatambulisha yeye ni mtu wa aina gani . Tumpuuze tu kwa kauli zake hizi ila tujue kuwa hayo mawazo yake ya aiana hiyo yako pia vichwani mwa wengine wengi wa aian aina yake.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 34,188 Reaction score 62,952 Oct 4, 2024 #22 ..OIC nimeanza kusikia toka 1993, na mpaka leo hoja hiyo haijaondoka ktk vichwa na vinywa vya Wazanzibari.
..OIC nimeanza kusikia toka 1993, na mpaka leo hoja hiyo haijaondoka ktk vichwa na vinywa vya Wazanzibari.