Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Tofauti Kati ya Ahmed Ally na Majaliwa ni ndogo Sana, wote waongo waongo. Juzi Ally katuambia basi liko gereji Leo mwenyekiti anakiri kuna mtafaruku na mdhamini."....Simba kama Taasisi huingia mikataba na wadau mbalimbali na tofauti kwenye mikataba huwa zinajitokeza popote pale na kama Klabu tupo kwenye mazungumzo na wadhamini wetu ili mambo yarejee kama kawaida."
"....mabasi yale hayakutafutwa na washabiki ama wanachama bali ni Viongozi ndiwo waliofanya na nikiri/kili kwamba tupo kwenye mazungumzo nao na ni imani hilo nalo litakwisha."
Try again akiongea Azam Tv.
Wote wa kusini hao huwenda ni ntu na njomba wakeTofauti Kati ya Ahmed Ally na Majaliwa ni ndogo Sana, wote waongo waongo. Juzi Ally katuambia basi liko gereji Leo mwenyekiti anakiri kuna mtafaruku na mdhamini.
Ponjoro anakula faida paleSasa yale Mabilioni ya udhamini wa M bet yameshindwa kununua hata yutong moja mpaka muanze kuwalamba miguu hao makanjibai wa africarriers ili wawape bus la bure?
Mchezaji wa 600mil ni kamariHaya mambo yanatia aibu sana. Sasa mambo madogo kama usafiri wa timu/bus yanawashinda vipi kuhusu usajili wa wachezaji wazuri wa kiwango vya caf wa Milioni 600 tutaweza kweli?
Anyway Simba guvu moya[emoji123][emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787]