M/kiti wa bodi ya Simba akili kutofautiana na wadhamini waliowapa basi

M/kiti wa bodi ya Simba akili kutofautiana na wadhamini waliowapa basi

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
"....Simba kama Taasisi huingia mikataba na wadau mbalimbali na tofauti kwenye mikataba huwa zinajitokeza popote pale na kama Klabu tupo kwenye mazungumzo na wadhamini wetu ili mambo yarejee kama kawaida."

"....mabasi yale hayakutafutwa na washabiki ama wanachama bali ni Viongozi ndiwo waliofanya na nikiri/kili kwamba tupo kwenye mazungumzo nao na ni imani hilo nalo litakwisha."

Try again akiongea Azam Tv.
 
Haya mambo yanatia aibu sana. Sasa mambo madogo kama usafiri wa timu/bus yanawashinda vipi kuhusu usajili wa wachezaji wazuri wa kiwango vya caf wa Milioni 600 tutaweza kweli?

Anyway Simba guvu moya[emoji123][emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787]
 
Mpaka nimepata kuwaone huruma wachezaji Kama facility za timu hakuna vipi facility za wachezaji?

Inaumiza Sana Sana hii timu ni kubwa mno kuliko Mo na Babra

Inasikitisha Sana kwa timu ambayo ipo kwenye ubora wa timu Bora 15 africa halafu wanakosa basi hata la milioni 150 hii haikubaliki.

Kama inawezekana tuambiwe tuchangie hakuna yanga imara bila simba au simba imara bila yanga!!
 
"....Simba kama Taasisi huingia mikataba na wadau mbalimbali na tofauti kwenye mikataba huwa zinajitokeza popote pale na kama Klabu tupo kwenye mazungumzo na wadhamini wetu ili mambo yarejee kama kawaida."

"....mabasi yale hayakutafutwa na washabiki ama wanachama bali ni Viongozi ndiwo waliofanya na nikiri/kili kwamba tupo kwenye mazungumzo nao na ni imani hilo nalo litakwisha."

Try again akiongea Azam Tv.
Tofauti Kati ya Ahmed Ally na Majaliwa ni ndogo Sana, wote waongo waongo. Juzi Ally katuambia basi liko gereji Leo mwenyekiti anakiri kuna mtafaruku na mdhamini.
 
Sasa yale Mabilioni ya udhamini wa M bet yameshindwa kununua hata yutong moja mpaka muanze kuwalamba miguu hao makanjibai wa africarriers ili wawape bus la bure?
 
bilioni 26 zile za MBet mlizoandika katika jezi hapa ndio zinaonekana zilikuwa za mchongo.... mana hata kununua basi LA m150 ni shida
 
Haya mambo yanatia aibu sana. Sasa mambo madogo kama usafiri wa timu/bus yanawashinda vipi kuhusu usajili wa wachezaji wazuri wa kiwango vya caf wa Milioni 600 tutaweza kweli?

Anyway Simba guvu moya[emoji123][emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787]
Mchezaji wa 600mil ni kamari

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom