m kopa wanakopesha tvs unalipa kidogo kidogo wamesema wapo msavu morogoro karibu na ofisi za halotel
Umetapeliwanimetapeliwa.
Hiyo tvs unayo?Huku mtandaoni nmeona kampuni moja wanaitwa m kopa wanakopesha tvs unalipa kidogo kidogo wamesema wapo msavu morogoro karibu na ofisi za halotel nmetuma pesa week Sasa naona kimya je Hawa watu wapo au nimetapeliwa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ofisini cjaenda ila form nimejaza onlineKama jibu ni hapana basi [emoji116]
- Je ulienda kwenye ofisi zao?
- Je kuna fomu yeyote ulijaza?
Umetapeliwa
Na ukatuma pesa kabisa? Kwa bank au kwa simu?
CmNa ukatuma pesa kabisa? Kwa bank au kwa simu?
Usajili wa namba ya simu ulikua wa mkopa au jina la MTU?
Jaribu kujaza tena na utume tena
Mishe zangu nazifanyia msamvu pale
Kwanza msamvu hamna jengo la Halotel wala branch yao,
Watu wengi tayari wameshalizwa na hao jamaa,jana tu kuna watu wamekuja msamvu kuulizia jengo la halotel lilipo,ilibidi ncheke tu kwanza
Mimi nadhani kuwa na adhabu pia kwa wale wanaotapeliwa kizembe, ukitapeliwa kizembe unaenda jera mwaka mmoja. Hii itasaidia wajinga kupungua piaUtapeli hauwezi kuisha, kwasabu wajinga mnazidi pia.
UMETAPELIWA TAYARI
kama ni mtu wa kulia anza kulia mapema,, kama ni mtu wa kujinyonga tafuta kamba chap,,, umeibiwa kijinga sana...
hata pole sikupi
Hii kampuni ya M-kopa ilikuwa inafanya kazi hapa Tanzania mwaka 2015 to 2018 makao makuu yake ni Nchini Kenya.Huku mtandaoni nmeona kampuni moja wanaitwa m kopa wanakopesha tvs unalipa kidogo kidogo wamesema wapo msavu morogoro karibu na ofisi za halotel nmetuma pesa week Sasa naona kimya je Hawa watu wapo au nimetapeliwa.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app