M kopa wapo Tanzania au nimetapeliwa

M kopa wapo Tanzania au nimetapeliwa

mkuu umepigwa.

Japo n uzembe wako kwa 100%... Hv hata ile kujiuliza flat screen tena Samsung af n curved inch 65 iuzwe laki sita na nusu??[emoji23][emoji23] tena kwa mkopo wa malipo ya miezi 10!!!! Na kianzio iwe n 65000????.

Haukuwa serious
 
Utapeli hauwezi kuisha, kwasabu wajinga mnazidi pia.

UMETAPELIWA TAYARI

kama ni mtu wa kulia anza kulia mapema,, kama ni mtu wa kujinyonga tafuta kamba chap,,, umeibiwa kijinga sana...

hata pole sikupi
Mimi nadhani kuwa na adhabu pia kwa wale wanaotapeliwa kizembe, ukitapeliwa kizembe unaenda jera mwaka mmoja. Hii itasaidia wajinga kupungua pia
 
Huku mtandaoni nmeona kampuni moja wanaitwa m kopa wanakopesha tvs unalipa kidogo kidogo wamesema wapo msavu morogoro karibu na ofisi za halotel nmetuma pesa week Sasa naona kimya je Hawa watu wapo au nimetapeliwa.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hii kampuni ya M-kopa ilikuwa inafanya kazi hapa Tanzania mwaka 2015 to 2018 makao makuu yake ni Nchini Kenya.

Wao walikuwa wanakopesha Solar kwa watu wa vijijini kwa mkopo nafuu tu. Ambapo ilikuwa unalipia kidogo kidogo mpaka unamaliza mkopo wako.Ila baadae waliacha kufanya hizo shughuli za kukopesha hizo Solar na kubaki tu na shughuli ya kuhudumia wateja waliokuwa wamekopa yaani kutengeneza na kubadilisha vifaa vya Solar kwa wateja waliokuwa wamekopa.

Hivyo, hicho ulichofanyiwa umetapeliwa kwa sababu M-kopa hawajihusishi tena na huo ukopeshaji.
 
Back
Top Bottom