M kopa wapo Tanzania au nimetapeliwa

Hii ndyo shida ya kutaka vitu kiurahisi yaan dezo umetapeliwa kimasihara
 
Mimi nadhani kuwa na adhabu pia kwa wale wanaotapeliwa kizembe, ukitapeliwa kizembe unaenda jera mwaka mmoja. Hii itasaidia wajinga kupungua pia

Yaani kabisa karne ya taarifa zipo kila mahali,, bado mtu unatuma hela kwa watu usiowafahamu kifalla tu..

Nchi ina watu wa hovyo sana
 
Yaani kabisa karne ya taarifa zipo kila mahali,, bado mtu unatuma hela kwa watu usiowafahamu kifalla tu..

Nchi ina watu wa hovyo sana
Unadhani CCM wanavyoinjoi kuitawala tz NI kwa bahati mbaya? Ndiyo kama hivi yaani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unafaa ukamatwe ulazwe chini upigwe bakora mpaka usemeee mamaaaaa ndio uachiwe .
 
We jamaa ukitaka Samsung smart inchi 65 kwa laki sita tena kwa mkopo[emoji23][emoji23]
 
Tukiweka orodha ya wajinga 100 unahisi utashija nafasi ya ngapi kiujinga[emoji23][emoji23]
 
Mimi nadhani kuwa na adhabu pia kwa wale wanaotapeliwa kizembe, ukitapeliwa kizembe unaenda jera mwaka mmoja. Hii itasaidia wajinga kupungua pia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Imebidi niji pongeze kwanza nipo morogoro na j3 ilikua nikachukuwe TV ila sikutaka kuletewa nilitaka niende ofisini kwao mojakwamoja.dah Ila udadisi ndio umenikutanisha na post hii.wamenikosaaaaaaaaaaa
 
Shemeji yenu na yeye juzi juzi wamemliza hao hao m kopa na wana maelezo hayo hayo! Sasa yeye alitaka kukopa kwa kunificha, baada ya kutapeliwa ndio anakuja nyoko nyoko.

Kuna 40k ya usajili na
40k ya marejesho kwa miezi 10
Nikaona wife ni bwege[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…