M-Pesa kulikoni haifanyi kazi?

M-Pesa kulikoni haifanyi kazi?

dali kimoko

Senior Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
114
Reaction score
139
Tangu asubuhi najaribu kununua muda na bundle sipati inagoma tu, na hatujaambiwa chochote, na mzigo wote upo humo, leo mipango hakuna yani.
 
Mkuu ni vizuri kuweka hela ktk mitandao tofauti.

Hii mitandao si ya kuitegemea sana.
 
Back
Top Bottom