- Thread starter
-
- #21
Inawezekana una hoja mkuu,
Ila naomba ujitahidi kujibu hoja za wadau tena kwa ufupi na bila kuchnaganya mambo.
Nimekuuliza...ni benki ipi inatoa riba kwenye saving account?
Hizo benki zinazotoa huduma ya bure ziko wapi? NBC wanaishia ngazi ya mkoa...CRDB na NMB zimefika kwenye baadhi ya wilaya. Wakati huo mabenki mengine makubwa yako Dar, Arusha, Mwanza na miji mingine mikubwa!
Je, watu zaidi ya 60% ya watanzania wanaishi katika maeneo yaliyo nje ya makao makuu ya wilaya na mikoa watapata wapi huduma za banks??
Babu DC
bwana Dark nilazima ujuwe swala la msing hapa sio kuzuwia huduma ya M. Pesa or any thng ila hapa najitaidi kuelezea uma hasa serikali kuja na uthibiti mkubwa ktk huduma hii,maana hyo 60% yawatanzania wapo ktk umasikini,alafu ndio huya bwana M. Pesa man anataka kuwanyonya kabisa. Nilazima Taifa hili liwe na watu amco ni wenye visiön ktk kuchaguwa mambo, tusilifanye Taifa hl ni shamba la Bibi kila jambo as long as linasaidia masikin basi linakubalika pasipo kuja na sera nzuri kwa manufaa ya wote. Hope umenielewa.