M-pesa, tigo Pesa, airtel Money na Maangamizo ya Uchumi wa Tanzania

M-pesa, tigo Pesa, airtel Money na Maangamizo ya Uchumi wa Tanzania

Inawezekana una hoja mkuu,

Ila naomba ujitahidi kujibu hoja za wadau tena kwa ufupi na bila kuchnaganya mambo.

Nimekuuliza...ni benki ipi inatoa riba kwenye saving account?

Hizo benki zinazotoa huduma ya bure ziko wapi? NBC wanaishia ngazi ya mkoa...CRDB na NMB zimefika kwenye baadhi ya wilaya. Wakati huo mabenki mengine makubwa yako Dar, Arusha, Mwanza na miji mingine mikubwa!

Je, watu zaidi ya 60% ya watanzania wanaishi katika maeneo yaliyo nje ya makao makuu ya wilaya na mikoa watapata wapi huduma za banks??

Babu DC

bwana Dark nilazima ujuwe swala la msing hapa sio kuzuwia huduma ya M. Pesa or any thng ila hapa najitaidi kuelezea uma hasa serikali kuja na uthibiti mkubwa ktk huduma hii,maana hyo 60% yawatanzania wapo ktk umasikini,alafu ndio huya bwana M. Pesa man anataka kuwanyonya kabisa. Nilazima Taifa hili liwe na watu amco ni wenye visiön ktk kuchaguwa mambo, tusilifanye Taifa hl ni shamba la Bibi kila jambo as long as linasaidia masikin basi linakubalika pasipo kuja na sera nzuri kwa manufaa ya wote. Hope umenielewa.
 
Pole sana ndugu ila benk kama CRDB ni noma inawaibia wateja wake mainly thru ATMs hakika weng wanalizwa sasa mbadala ni nafuu kama hizo huduma za simu, serikali haitakiwi kukopa ktk mabenk maana ina miradi mingi kama madini, utalii, PAYE, SDL na kodi mbalimbali chamsingi kama hawana responsibility and accountability ktk ufanisi wao hilo ni jukumu lao na jukumu lako kuvote for change in 2015 so that you can have a new ADMINISTRATION.

Hehe! Aya mkubwa,ila nadhan cnk kuwa na wez nitatizo la watu wa juu ya hyo bank not government even thour serikal inaingizwa kwakuwa ni Mzazi.
 
Concerns zako zinaweza kuwa valid lakini jiulize je ni Tanzania tu pekee ndiko huduma hii ya pesa kwa simu inafanyika? Kenya, nchi kadhaa za Asia, na ukanda mkubwa wa Kusini mwa Africa unaohudumiwa na Shirika la simu la MTN hii kitu inafanyika. Na zaidi ya hayo USAID ama IMF kama sijakosea wanataka kutoa pesa ili kuimarisha huduma hii ya kifedha kwa njia ya simu kutokana na mchango wake katika sekta isiyo rasmi na uboreshaji huduma za kifedha vijijini. Vilevile tunaona kuibuka kwa trend ya mabenki unayoyatetea kuingia katika mikataba ya ushirikiano utoaji huduma za kifedha na watu kama mpesa and the co. Unaweza kuwa na hoja valid lakini wapaswa kurephrase ili concerns zako zijitokeze wazi na kueleweka zaidi.

Well mimi sibishi ila napenda kusema,the issue sio yule na yule wanafanya hv cha msing yapaswa serikal kuja na mpango mkakati ktk kuinua secta za ki bank pasipo kuelemea upande mmoja naku couse uchumi ku colaps,maana kumbuka at the End of the day we have only one Act wich direct all Financial Inst. Mimi nimtu napenda kufikiria b4 sijakubali wazo lolote, ktk hili upande mmoja kuna kama unafuu fulani ila upande wa pili financial institution zinapata wakati mgumu. U must rem taifa lolote lenye uchumi imara basi juwa vyombo vyake vya kifedha vipo imara hvyo We as Tanzania we must stand together to make sure Uchumi wetu unakuwa ktk misingi imara isio yumbishwa yumbishwa na kitu chochote, huwez ku control thaman ya Shiling ikiwa utakuwa huna sheria madhubut ktk kuendesha mashirika yote yanayo fanya biashara ya pesa. So tusipumbazwe na jins wenzetu wamefanya na tusikubal pesa kuwa na milango ming pasipo uzibit mathubut ktk maswala ya fedha...
 
Physical cash is deposited in a bank and only Transactions go through M-pesa.

Naomba ongelea kupungua kwa Bank Transctions na sio Deposits.

Mkuu Mlache umeua. Maana mie jamaa zangu wenye vi-MPESA huwa wana-deposit cash kwenye bank ndipo kampuni inawapa floating cash.
 
Haya ni matunda ya kuwa na serikali na viongozi legelege,wanaofanya maamuzi legelege na kuyasimamia kwa ulegelege....anyway even me nilikuwa nahisi kama kuna impact kwenye uchumi,isipokuwa kwasababu sio mtaalamu wa uchumi nikakosa cha kusema..may be wana-uchumi watupe analysis zenye afya hapa...
 
Nami nakubaliana na wewe kwamba TumainiEl anaweza kuwa na hoja ila kwanza ameshindwa kuwasilisha ujumbe wake kwa njia ambayo ni direct ili tumuelewe...Mixing messages leads to dostortion!! Na pili hatoi ufafanuzi wa hija za wadau ili tumuelewe.

Hicho ndicho kimetokea na tumemweleza toka mwanzo..badala yake naona kaanza kushambulia wachangiaji..Haitasaidia hata kidogo!

Hata hivyo, lawama zake kazielekeza kwa wasio husika. Ilibidi uoneshe wazi upungufu wa serikali katika kusimamia hii sekat ambayo si tu inakua kwa kasi bali inahudumia watanzania walio wengi. Badala yake analaumu hata sie watumiaji!

Hivi akienda na hoja kama hii kugombea ubunge (assuming hakuna uchakachuaji) anaweza kupata kura ngapi (in terms of %) kwa wananchi hata wale wa mjini Dar??

Babu DC!!

Hehehe siwashambuli ila nadhan mdahalo ni mkali na pia inaonyesha watu wanataka kuwa washabiki zaidi ila naunga mkono oja mkubwa.
 
1. Nakubaliana na baadhi ya 'concerns' za Tumainiel, hasa kuhusu udhibiti wa hizo mobile banking, kwa sababu zisipodhibitiwa zinaweza kutupeleka pabaya (kutumika kwa malengo maovu-kusafisha pessa haramu). Mobile banking lazima zifanye kazi kwa mujibu wa sheria za fedha, watoa huduma na wapokea huduma walipe kodi na serikali ijue kabisa ni kiasi gani kinazunguka katika mitandao hii kwa sasa kama mitaji na amana za wateja.

2. Naungana na DC hapo juu kwamba benki zote kubwa kubwa hapa nchini zinafanya kazi kuishia katika ngazi ya wilaya (tukiongelea CRDB na NMB). Nyingine karibu zote zimejazana mijini, hasa miji mikuu ambayo inakaliwa na 20% ya Watanzania. Ina maana hao 80% waliosalia, ambao kwa bahati ndio wengi, wanategemea huduma za SACCOS, VICOBA na mobile money (kwa maana ya Tigo Pesa, Z-Pesa, M-Pesa na Airtel Money). Kwa hiyo basi, huduma hizi zinasaidia watu wengi zaidi (kwa maana ya kutoa huduma) kuliko benki kubwa. Tusilalamikie tu uholela wa huduma zao, bali tujikite katika kuziboresha ili wananchi na serikali wote tufaidike na huduma hizi.

By the way, M-Pesa haifanyi kazi tangu jana, sijajua shida iko wapi. Any clue from any one?
Nawasilisha

Mawazo yako yamekuwa chanya kupita yangu,i wish ungekuwa mahal pautekelezaji wl could have gud result.
 
Siamini hata kidogo kuwa MPESA Inatishia uchumi wa nchi. labda kwa kutoa dodoso. wazo la simu bankin lilianzishwa wa DFID shilrika la Waingereza linalijihusisha na kupunguza umaskini. llikatoa pesa kwa mitandao ya simu hapa nchini lilianza na VODACOM MPESA. na kwa kiasi kikubwa project hii imesaidia kuondoa umaskini.

Ila mtoa hoja labda inabidi aeleweshwe nini maana ya umaskini. Unaweza kuwa na Mabililioni ya pesa bank bado ukawa ni maskini kama huna uwezo au namna ya kuzitumia pesa zako. kwa kiasi kikubwa umasikini kwa fafanuzi sahihi, umepungua kwa njia ya MPESA etc.

Ila kitu ninachokubaliana na mtoa hoja ni kweli kuwa hizi simu banking lazima ziwe na control, mfano wanaweza kuweka kiwango maalumu ambacho mtu anaweza kuwa nacho kwenye account yake ya simu. Hii itapunguza uwezekano wa watu kukwepa kutumia bank sysstems.

Ni hayo kwa sasa.

Bon naungana hoja ktk maneno ya mwisho juu ya uthibiti, ila napingana nawewe kuwa kuwa na pesa bank mabilion haina maana labda kama hyo bank iwe bank M.pesa. Ila kumbuka kuanzia tsh20,000/= inathaman hvyo kumpa riba mteja. Mtu ukiwa bilion bank ktk fixed 4three month wewe sio mwenzetu na hyo ndio faida kuweka fedha bank ila weka 1m ktk M.pesa kama ujakuta imeisha kwa charges. Nadhani kunahaja yakuwa makini zaid ktk uchangiaji. Pia kumbuka sm project zinaanzishwa kwakuwa uwelewa ni mdogo hvyo tunanyonywa pasipo kujuwa so nadhan bado tunahaja yakuwa namjadala mpana kujuwa vile twaweza saidia taifa letu.
 
Physical cash is deposited in a bank and only Transactions go through M-pesa.

Naomba ongelea kupungua kwa Bank Transctions na sio Deposits.

Bwana Mlachake umejitahidi lakini unajuwa kila jambo haliwi na effect moja nilazima ujuwe kupungua kwa deposit,pia kuna punguza transaction ktk bank ambayo inaenda ku affect every ATM KTK taifa hili, ambapo pia mwisho wake ni kufungwa kwa sm of ATM. Pia nilazima ujuwe Pesa ilipo bank inakuwa na thaman kwa mwananchi husika,leo tumempa mtu mmoja kukusanya trans zote kwa asilim200% nakuja kulipa 100% au 75% in terms of charge while at the same tm anafaidi Riba. Jambo ambalo sio ungwana. Nikiwa kama mdau ktk secta hii napinga wizi huu maana nibora kila mtanzania akawa na akaunti jambo linalowezekana either u like or not then taifa lingekuwa ktk wakat mzuri kiuchumi.
 
Haya ni matunda ya kuwa na serikali na viongozi legelege,wanaofanya maamuzi legelege na kuyasimamia kwa ulegelege....anyway even me nilikuwa nahisi kama kuna impact kwenye uchumi,isipokuwa kwasababu sio mtaalamu wa uchumi nikakosa cha kusema..may be wana-uchumi watupe analysis zenye afya hapa...

Umesema hauko mbali ktk hili,ila huwitaji kuwaza sana ila chukua hii issue kama nyumban na familia yako, mama awe bank na mtoto awe M. Pesa waza ndugu jama wanapo taka fedha inakuwaje? Wakati mama akiwa bank na sasa una M. Pesa mtoto? That is how uchumi wetu umefika.
 
Maoni yenu wadau nimeyasoma yote ila kumbukeni cheap ni haghali.

Watanzania wanapenda mchina sana kiasi tunashindwa kupambanua hathari zakiuchumi ktk hili. Hii ni sawa ulete mchele wenye sumu uwauzie watanzania kwa 1kg@Tsh1000/=. Nadhani utawauwa wote. Sii wasomi wala wasio wasomi we love cheap. Nahapa ndipo tunapo liangamiza taifa.

I love German maana ni moja ya mataifa yana vitu haghali ila durable. Nifafanue tu sipingi M. Pesa. Ila m. Pesa kufikia mpaka mamilion ku2ma ni hatari tena ni hatari bila kumumunya. Tena sasa hivi mpaka mishahara huu nauwita ujinga pasipo kufumba macho nakuvinyooshea vyombo husika kwakuwa vipofu ktk hili.

Mfano bank mtu anaweka fedha bure na kutoa kwa kati ya TSH 600 up to Tsh1000. Per Transaction of up to 25M. M. Pesa unatuma pesa 100.000/= kwa tsh2500/. Hii sio asilimia 200% ya makato? Nakuwanyonya wanyonge? Kumbe nibora kuwa na akaunti bank kuliko kufanya huu umasakuu? Pili kujuwa salio ni Tsh200 up 300 if not 400 ktk ATM. How much poor people charged for checking balance into M. Pesa? Kile mnasema kimeinua uchumi ni kama kujenga nyumba miamoja ktk kijiji zikawa unafuu kwa wananch kwa miaka mitatu ila kumbe zimejengwa ktk bonde mvua ikaja nakuzowa nyumba zote.

LEO NATAKA KUSEMA IKIWA HIZI HUDUMA ZA M.PESA NAZINGINEZO ZILIZOOTA KAMA UYOGA HAPA NCHINI HAZITO ZIBITIWA BASI TUJUWE UCHUMI WA TAIFA ILI TUNAUJENGA BONDEN AND AFTER 5YR SERIKAL ITAKUWA IKIPATA MAUMIVU MENGINE..
Mkuu naona unatokwa povu kwa kitu usichokijua vizuri. Pia naona kidogo hesabu za asilimia hukumwelewa mwalimu vizuri au umepitiwa kutokana na ugumu wa maisha.

Hizo fedha zilizoko mpesa au the like bado ziko kwenye mabenki. siyo kweli kuwa makampuni ya simu yanakaa na pesa zooote hizo. Hivyo sababu yako ya kuua uchumi kwa kutoa fedha bank siyo kweli. fedha halisi bado zina kaa bank na figures tu ndo zinakaa kwenye systems zao.

Pia ghalama inayotozwa ni less than 3%. hata banks kama crdb wanatoza fedha ukideposite kwenye account iliyoko branch nyingine.

Huduma hizi ni exellent na zimesaidia kukuza uchumi kwani zinapunguza gharama ya kufanya biashara.
 
Maoni yenu wadau nimeyasoma yote ila kumbukeni cheap ni haghali.

Watanzania wanapenda mchina sana kiasi tunashindwa kupambanua hathari zakiuchumi ktk hili. Hii ni sawa ulete mchele wenye sumu uwauzie watanzania kwa 1kg@Tsh1000/=. Nadhani utawauwa wote. Sii wasomi wala wasio wasomi we love cheap. Nahapa ndipo tunapo liangamiza taifa.

I love German maana ni moja ya mataifa yana vitu haghali ila durable. Nifafanue tu sipingi M. Pesa. Ila m. Pesa kufikia mpaka mamilion ku2ma ni hatari tena ni hatari bila kumumunya. Tena sasa hivi mpaka mishahara huu nauwita ujinga pasipo kufumba macho nakuvinyooshea vyombo husika kwakuwa vipofu ktk hili.

Mfano bank mtu anaweka fedha bure na kutoa kwa kati ya TSH 600 up to Tsh1000. Per Transaction of up to 25M. M. Pesa unatuma pesa 100.000/= kwa tsh2500/. Hii sio asilimia 200% ya makato? Nakuwanyonya wanyonge? Kumbe nibora kuwa na akaunti bank kuliko kufanya huu umasakuu? Pili kujuwa salio ni Tsh200 up 300 if not 400 ktk ATM. How much poor people charged for checking balance into M. Pesa? Kile mnasema kimeinua uchumi ni kama kujenga nyumba miamoja ktk kijiji zikawa unafuu kwa wananch kwa miaka mitatu ila kumbe zimejengwa ktk bonde mvua ikaja nakuzowa nyumba zote.

LEO NATAKA KUSEMA IKIWA HIZI HUDUMA ZA M.PESA NAZINGINEZO ZILIZOOTA KAMA UYOGA HAPA NCHINI HAZITO ZIBITIWA BASI TUJUWE UCHUMI WA TAIFA ILI TUNAUJENGA BONDEN AND AFTER 5YR SERIKAL ITAKUWA IKIPATA MAUMIVU MENGINE..
Kwangu mimi naona mitandao imetusaidia sana watu ambao wako wilayani hivi unajua kutoa pesa kwenye ATM za bank unakatwa 5000 kuanzia kiasi cha sh 5000 mpaka 99,999 ukitoa 100,000 na kuendelea unakatwa 10,000 tofauti na mkoani utakatwa chini ya sh 400. hiyo ndiyo hali halisi ya mabank jaribu siku moja kutoa pesa kwenye ATM za wilayani ni wizi mtupu.
 
TumainiEl

Ungeanza kuelezea jinsi Mpesa inavyofanya kazi then utuoneshe ni jinsi gani iyakavyoathiri uchumi wa nchi. So far naona unarukaruka tu bila ya kueleza ni jinsi gani uchumi wa nchi utakavyoathirika.

By the way hapa UK soon hiyo system ya kutuma hela kwa njia ya simu itakuwa introduced
 
Kwangu mimi naona mitandao imetusaidia sana watu ambao wako wilayani hivi unajua kutoa pesa kwenye ATM za bank unakatwa 5000 kuanzia kiasi cha sh 5000 mpaka 99,999 ukitoa 100,000 na kuendelea unakatwa 10,000 tofauti na mkoani utakatwa chini ya sh 400. hiyo ndiyo hali halisi ya mabank jaribu siku moja kutoa pesa kwenye ATM za wilayani ni wizi mtupu.

Gharama iliyojificha huko Wilayani ni nauli toka kijijini mpaka ilipo bank, ambapo mara nyingi ni pale yalipo makao ya Wilaya. Kabla ya M-pesa, jamaa yangu alikuwa anatumia 40,000/ nauli na malazi kwenda na kurudi wilayani kila inapobidi kwenda kufuata fedha, bila kujali ni kiasi gani.

Tuiambie serikali iimarishe huduma za benki. Maeneo mengi wanakokaa ndugu zetu hakuna benki, kwa sasa M-Pesa ni mkombozi. Habari za uchumi kuanguka ni jukumu la watalaamu wetu kulitolea ufumbuzi.
 
Maoni yenu wadau nimeyasoma yote ila kumbukeni cheap ni haghali.

Watanzania wanapenda mchina sana kiasi tunashindwa kupambanua hathari zakiuchumi ktk hili. Hii ni sawa ulete mchele wenye sumu uwauzie watanzania kwa 1kg@Tsh1000/=. Nadhani utawauwa wote. Sii wasomi wala wasio wasomi we love cheap. Nahapa ndipo tunapo liangamiza taifa.

I love German maana ni moja ya mataifa yana vitu haghali ila durable. Nifafanue tu sipingi M. Pesa. Ila m. Pesa kufikia mpaka mamilion ku2ma ni hatari tena ni hatari bila kumumunya. Tena sasa hivi mpaka mishahara huu nauwita ujinga pasipo kufumba macho nakuvinyooshea vyombo husika kwakuwa vipofu ktk hili.

Mfano bank mtu anaweka fedha bure na kutoa kwa kati ya TSH 600 up to Tsh1000. Per Transaction of up to 25M. M. Pesa unatuma pesa 100.000/= kwa tsh2500/. Hii sio asilimia 200% ya makato? Nakuwanyonya wanyonge? Kumbe nibora kuwa na akaunti bank kuliko kufanya huu umasakuu? Pili kujuwa salio ni Tsh200 up 300 if not 400 ktk ATM. How much poor people charged for checking balance into M. Pesa? Kile mnasema kimeinua uchumi ni kama kujenga nyumba miamoja ktk kijiji zikawa unafuu kwa wananch kwa miaka mitatu ila kumbe zimejengwa ktk bonde mvua ikaja nakuzowa nyumba zote.

LEO NATAKA KUSEMA IKIWA HIZI HUDUMA ZA M.PESA NAZINGINEZO ZILIZOOTA KAMA UYOGA HAPA NCHINI HAZITO ZIBITIWA BASI TUJUWE UCHUMI WA TAIFA ILI TUNAUJENGA BONDEN AND AFTER 5YR SERIKAL ITAKUWA IKIPATA MAUMIVU MENGINE..

wacha uongo. HUna HOJA bali ni VIOJA!
 
Mi sio mtaalamu wa maswala ya fedha ila kwa mtazamo nakubaliana na Tumaniel kuwa pesa inapo kaa bank mtu unaweza kopa na kufanya biashara na kukuza uchumi je pesa nyingi ikiwa ktk mpesa, tigopesa je inaweza kopesheka?
 
Back
Top Bottom