M-pesa, tigo-pesa, airtel-money.

MTORI

Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
46
Reaction score
4
jamani wadau mi ni graduate ila sijapata kazi nataka kuwa wakala wa m-pesa, tigo-pesa nimekopa mtaji nimeshapata ila nimekosa fursa ya kusajiliwa na huduma hii, nilienda tigo wakaniambia wamesitisha usajili wa mawakala na voda wakaniambia vivyohivyo sasa nipo dilema nami nilishajipanga kufanya kazi hii, naombeni msaada mtaji wangu usijekupotea nipo dar. pls kwa msaada ni pm tafadhali.
 
Kama hiyo imekataa fikiria njia nyingine inayoweza zalisha hela na kukupa faida ili urusishe mkopo wako.
Pia kaa chini fungua kichwa maana mambo mengi sana ya kufanya hapa nchini

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 

Mwanangu, mimi naomba uje tuongee nina line ya MPESA NAHITAJI NIKUPATIE KWA MAELEWANO
Nipigie 0713 68 96 65. Ulizia Mama Anna
 
pole sana...sasa itakuweje mkuu....angalia pia kuwekeza pengine kama vile wakala wa usambazaji gesi za kwenye mitungi...kama oryx, mohan nk...zinalipa kinoma.
 
ila ilitakiwa usake taarifa muhimu kable ya kuchukua pesa hiyo ..
ni kweli naona tigo/voda sasa kupata line ishakuwa purukushani tena
 
Bongo kiboko! Watu wana line za M-pesa tigo pesa hawana mitaji, wenye mitaji wanatafuta line kwa wahusika hawazipati, walio nazo wasio na mitaji wanataka maelewano. Kwa nini makampuni yasikague walioshindwa kuendesha biashara wakapewa wenye mitaji ili wafanye wao hiyo kazi?!
 
acha uongo voda line bado wanatoa labda useme huna tin na leseni ya biashara.air tel money the same.acha kutumia line ya mtu unaweza pata matatzo ya kifedha ukashindwa kutatuta coz ur not a true owner.tigo ni kweli wanamaringo ila voda na air tel wapo okay ukishindwa njoo mlimani city vodacom usaidiwe
 
We tafuta TIN na Lesseni ya Biashara kwanza.Ukishapata nenda Voda watakupa line.TIN zinatolewa bure TRA ila Lesseni kuna ada kidogo ya lesseni
 
Mimi nina TIN na leseni ya biashara , je hapo vodashop naenda na sh ngapi kama kianzio?
 
pole sana...sasa itakuweje mkuu....angalia pia kuwekeza pengine kama vile wakala wa usambazaji gesi za kwenye mitungi...kama oryx, mohan nk...zinalipa kinoma.
hivi kamtaji ka mpesa unaweza kuwekeza kwenye uwakala wa gas mkuu
 
ukweli ni kwamba vodacom hawatoi line, ila wanafanya utaratibu kuna kampuni itapewa tenda ya kuwa inashughulika na maswala ya mpesa na kusajili mawakala.
 
Nahitaji laini ya tigo Pesa.Wasiliana nami kwa 0718 493 346
 
pole sana...sasa itakuweje mkuu....angalia pia kuwekeza pengine kama vile wakala wa usambazaji gesi za kwenye mitungi...kama oryx, mohan nk...zinalipa kinoma.


mkuu nasikia gesi ya mihani imezuiwa tanzania....ni kweli?
 
wasiliana na agregator au kwa jina lingne wakala mkubwa atakupa maelekezo ts easy usiende makao makuu ya kampun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…